Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

Hiyo elimu itabadili vipengele vya mkataba ?
 
Kweli
20230712_180741.jpg
 
Nimemsikia anaongea utumbo utumbo tu! Mara mchicha, mara nyama na takataka kibao!
Halafu hajiamini na anaonekana kuweweseka sana!
Chama changu kimejaa wachumia tumbo tu!
Brains kama za Mhe. Luaga Mpina ni za kusaka kwa " tochi"!
 
Hivi anawaona wananchi hao ni wajinga sana eenh!!!?
Anawaona wananchi wa Mbeya ni kama mazumbukuku vile
Wewe hebu tulia.

Hivi mchele unaotoka Kyela kwenda China huwa unatumia bandari gani?

Hii bandari ikiwa efficiency ,hata bei zitakuwa nzuri tena misimu yote,mana nirahisi mchele ,parachichi, mahindi na mazao mengine kuuzwa kwenye soko la nje lenye bei nzuri kuliko soko la ndani, mana usafirishaji ni wa uhakika
 
Back
Top Bottom