Chema chajiuza kibaya chajitembeza.Hivi speaker wa bunge sianatakiwa awe neutral? alafu kwanini bunge liidhinishe ule mkataba and then ndio mnakuja kushawishi na kuelimisha wananchi hii inatoa tafsiri ? .wabunge ni wawakilishi wa wananchi kile wanachotaka na sio wanaowaamulia wanachotaka wao .
Kama anajiamini atengeneza mdahalo na wakina Prof Shivji na Dr. Nshala.SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Anavyoamini kwenye bichwa lake kama vile wengine hawapumii hewa au yeye ni immortal.Yaani huyu dada ana dharau. Yaani anawaambia Wananchi wake kuwa yeye ana thamani zaidi kuliko wapiga kura wake.
Akaelimishe mbwa labda ndiyo viumbe wanaotamani kuuzwa kwa mwenye fedha. Asijisumbue kuelimisha binadamu sisi. Binadamu hupenda uhuru na heshima.SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Hichi kimenifanya nitafakari sana wajibu wa Speaker. Kama speaker anaweza kufanya haya. We are finished.Ila bado tuna safari ndefu sana, imagine mkuu wa mhimili wa Bunge yupo ziarani kuisemea serikali. Haya ni maajabu makubwa sana sema ndo hivo yupo kuongea na wajinga.
Tulia hajui kabisa kazi yake kama spika wa bunge ukichanganya na elimu aliyonayo nikajua atakua na akili ila anafanya jambo la kijinga sana
Spika anakuaje msemaji wa serikali,
How comes
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Kwamba ni mkataba au Makubaliano?!!! Kwanza Mbeya hakuna Bandari!SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Hata Kasumulu ni Mbeya ujue,huyo hajazaliwa Mbeya mjini,aliyezaliwa palepale Mjini simtaji jina.Pamoja na kwamba Tulia ni mzaliwa wa Mbeya ninauhakika kabisa bado hajaielewa Mbeya!
Kwahiyo nahii ziara tunagaramia sisi walipa Kodi au DP?SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
hana uwezo kusimama jukaani au kwenye mdahalo na mwabukusi huyo. naona hata sugu kalala usingizi, namshauri mwabukusi achukue kabisa hicho kiti cha mbeya manake sugu na tulia hawafai.SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.