Nimemsikia anaongea utumbo utumbo tu! Mara mchicha, mara nyama na takataka kibao!
Halafu hajiamini na anaonekana kuweweseka sana!
Chama changu kimejaa wachumia tumbo tu!
Brains kama za Mhe. Luaga Mpina ni za kusaka kwa " tochi"!
Hivi mchele unaotoka Kyela kwenda China huwa unatumia bandari gani?
Hii bandari ikiwa efficiency ,hata bei zitakuwa nzuri tena misimu yote,mana nirahisi mchele ,parachichi, mahindi na mazao mengine kuuzwa kwenye soko la nje lenye bei nzuri kuliko soko la ndani, mana usafirishaji ni wa uhakika