Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

Jaribu kuandamana uone kama kweli una uhuru wa kutoa maoni yako
Unatoa maoni hayo kama IGP Wambura?

Kwa kuwa hayo maandamano ya amani yanaruhusiwa kufanyika kwa mujibu wa Katiba yetu ya nchi.

Wewe ni nani hadi uende kinyume cha Katiba yetu ya nchi??🥺
 
Halina ubishi hilo.Mtu mzima,mama wa familia,mke wa mtu,ndugu wa ukoo,shemeji na mkwe wa ukoo,kiongozi wa mhimili wa serikali,msomi wa udaktari wa sheria ambaye hatujawahi kuona vyeti vyake vya matatizo ya afya ya akili kutamka hadharani ujinga ule ni dhahma kwa jamii ya wastaarabu.Maneno yale ndiyo hufanya wadharaulike na kutukanwa hovyo hadharani au mitandaoni.Aibu kubwa sana.
Watu wanasema hata kama we ni msomi mzuri, ukishaingia huko ccm kwa kubebwa akili unaziacha nje.
 
Kuwajibika ni ngumu saana kwa wadaganyika , kayasema hayo yote ni kwa sababu ya tumbo ndilo linamuongoza kufikilia
Hilo tumbo angelitunza lionekane ni jema kwa mumewe na hakuitwa tasa.Pia lilitoa watoto wake wanaomtegemea.Siyo kutoa pumzi kwenye hilo tumbo linalokula kodi za wananchi ili awagombanishe haohao wananchi.
 
Watu wanasema hata kama we ni msomi mzuri, ukishaingia huko ccm kwa kubebwa akili unaziacha nje.
Ni kujiendekeza,kujipendekeza,kutafuta sifa na umaarufu kwa kujilegeza mishipa ya fahamu tu.Unamuangalia mtu mzima anatamka maneno ya hovyo kama mwehu.
 
Unatoa maoni hayo kama IGP Wambura?

Kwa kuwa hayo maandamano ya amani yanaruhusiwa kufanyika kwa mujibu wa Katiba yetu ya nchi.

Wewe ni nani hadi uende kinyume cha Katiba yetu ya nchi??🥺

Nenda basi kaandamane
 
watoto wa kike kama wewe ndio wenye hayo maneno lkn sio kwa watoto wa kiume!

Kumbe wewe mbaguzi wa jinsia? Pole sana. Angalia Iran watoto wa kike wanaandamana, Sudan kule wanawake waliandamana. Acha mawazo ya kizamani na ya kishamba.
 
watoto wa kike kama wewe ndio wenye hayo maneno lkn sio kwa watoto wa kiume!
Kwa hiyo siku zote ambazo mmeshindwa kutokezea kwenye maandamano ni kwa sababu mlikuwa wanawake, ila sasa mmebadilika na kuwa Wavulana?
 
Alafu nimsikie mtoto wangu nikimuuliza ni yupi mtu wa mfano kwako na unajifunza kutoka kwake na unatamani kuwa kama yeye, nikisikia anasema nataka kuwa kama Tulia namua mtoto maana anatia uchuro ukoo wangu
 
Mwenyewe akisoma huu uzi anacheka, haamini kama kuna kitu kinaitwa 'kujiuzulu', yaani unamwambia aruke kutoka kwenye V8?
Ni kweli kwa Africa tamaduni ya Kiongozi kujiuzuru bado iko mbali sana ! Labda mtu aende tofauti na mamlaka kuu ya Nchi husika !!
 
Jamaa wenye akili finyu watajua wameshapewa green light ya kunyooka na wanaowaona hawapo upande wao !! Kauli za namna hii hazifai kabisa kwa mustakabali mwema wa Nchi !!
Yaani hawa vijana wa CCM wakiwa barabarani nakwenye makundi ya watu wawe making Sana na kujishusha.

Hii kauli ya spika itawanyoosha kweli. Akina mama wanaijadili hii kauli vibaya. Ni nani atakubali kunyooshwa au mwanae anyooshwe. Maisha mitaani ni magumu wanahasira hawachagui Cha kuongea.

Aombe radhi na arekebishe hiyo kauli. Amemwaga petrol barabarani.
 
Tanzania inawasomi wa ajabu sana
Tunaambiwa huyo ndiye. PhD holder ya sheria!

Hiyo itafanya hata Mimi, watoto wangu niwapige marufuku kutosomea taaluma hiyo ya sheria🥺
 
Jaribu kuandamana uone kama kweli una uhuru wa kutoa maoni yako
Hawa vijana wa siku hizi akili zao ni pesa. Ila hii kauli iko vibaya imebeba ujumbe wa kutokuaminiana.

Hapo ndipo fukuto la chuki na kutokuaminiana litaanzia na mmoja akidhurika tayari sumu ya chuki itasambaa Tanzania nzima. Maandamano tayari kila Kijiji. Mtazibiti wangapi?
 
Back
Top Bottom