Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

Ndugu Tulia urudi kulima Mbeya kutokana na hiyo kauli yako. Hivi mnafikiri hii ni nchi ya manyani this is too much
 
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.

Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa Spika wa Bunge letu Katika kikao cha UVCCM, kwa kuwataka vijana hao kuwa wasimvumilie mtu yoyote, aidha kutoka CCM au vyama vya upinzani, kuwa washughulike naye, atakayemsema vibaya Rais wetu Samia Suluhu Hassan!

Hayo maneno ni ya hatari Sana Katika nchi inayohubiri kudumisha amani kila siku.

Hivi kutoa "critical criticism" kwa kiongozi wa nchi, au kwa Spika wa Bunge, au hata kwa Mbunge yeyote, lengo likiwa kurekebisha mfumo ambao utauona siyo wa Haki, hivi kuna ubaya gani, Hadi Spika wetu atoe maneno ya vitisho vya kiasi hicho?

Katiba ya nchi yetu, ambayo ni sheria mama, Katika ibara ya 18(1) inatoa uhuru kwa kila mtanzania kutoa maoni yake.

Hivi Spika Tulia Ackson, anajaribu hata kupingana na Katiba ya nchi yetu, iliyotoa uhuru wa wananchi, kutoa maoni yao?

Hivi Spika Tulia Ackson, anajua kuwa kutokana na hayo matamko yake aliyoyatoa kwa huo Umoja wa vijana wa CCM, unaweza kuleta machafuko makubwa ya umwagaji damu nchini?🥺

Kutokana na maelezo hayo ningependa kumwomba Spika Tulia Ackson, ajiuzulu nafasi yake ya u-Spika wa Bunge Ili kuliepusha Taifa hili na machafuko ya umwagikaji damu

Mungu ibariki Tanzania
Na akikaidi kujiuzuru, Mungu anaenda kusema nae KWa sauti kubwa, unaamasisha umwagaji dam katika Taifa lake ndani ya siku 11 kuanzia leo Kama hatatekeleza , Mimi binafsi naenda funga KWa ajili yake,

Haiwezekani ,Haiwezekani ruhusu kauli za viongozi wa aina hii kisa upofu wa kiti alichokikalia, alafu tuseme ameteleza

Kiongozi wa level yake anaendaje kwenye adhara bila kujua nini ataongea ,? Nakata hatateleza,

Na KWa kauli hii Mungu amemfuta kuanzia kichwa mpaka unyayo wake , akataliwe popote asimamapo na atembeapo. Imekua
 
Na akikaidi kujiuzuru, Mungu anaenda kusema nae KWa sauti kubwa, unaamasisha umwagaji dam katika Taifa lake ndani ya siku 11 kuanzia leo Kama hatatekeleza , Mimi binafsi naenda funga KWa ajili yake,

Haiwezekani ,Haiwezekani ruhusu kauli za viongozi wa aina hii kisa upofu wa kiti alichokikalia, alafu tuseme ameteleza

Kiongozi wa level yake anaendaje kwenye adhara bila kujua nini ataongea ,? Nakata hatateleza,

Na KWa kauli hii Mungu amemfuta kuanzia kichwa mpaka unyayo wake , akataliwe popote asimamapo na atembeapo. mekua
Amen🙏
 
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.

Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa Spika wa Bunge letu Katika kikao cha UVCCM, kwa kuwataka vijana hao kuwa wasimvumilie mtu yoyote, aidha kutoka CCM au vyama vya upinzani, kuwa washughulike naye, atakayemsema vibaya Rais wetu Samia Suluhu Hassan!

Hayo maneno ni ya hatari Sana Katika nchi inayohubiri kudumisha amani kila siku.

Hivi kutoa "critical criticism" kwa kiongozi wa nchi, au kwa Spika wa Bunge, au hata kwa Mbunge yeyote, lengo likiwa kurekebisha mfumo ambao utauona siyo wa Haki, hivi kuna ubaya gani, Hadi Spika wetu atoe maneno ya vitisho vya kiasi hicho?

Katiba ya nchi yetu, ambayo ni sheria mama, Katika ibara ya 18(1) inatoa uhuru kwa kila mtanzania kutoa maoni yake.

Hivi Spika Tulia Ackson, anajaribu hata kupingana na Katiba ya nchi yetu, iliyotoa uhuru wa wananchi, kutoa maoni yao?

Hivi Spika Tulia Ackson, anajua kuwa kutokana na hayo matamko yake aliyoyatoa kwa huo Umoja wa vijana wa CCM, unaweza kuleta machafuko makubwa ya umwagaji damu nchini?[emoji3064]

Kutokana na maelezo hayo ningependa kumwomba Spika Tulia Ackson, ajiuzulu nafasi yake ya u-Spika wa Bunge Ili kuliepusha Taifa hili na machafuko ya umwagikaji damu

Mungu ibariki Tanzania
Majirani zetu Zambia, Rais alisemwa maneno mabaya vijana wakakamatwa baada ya mda waakaachiwa, July mwaka huu Rais amemwelekeza minister wa justice kupeleka bungeni mswada wa sheria unaowapa wananchi kumsema Rais. Huku kwetu Msomi wa sheria anatoa matapishi ya kuminya wananchi wasiwaseme viongozi hata kama wanakosea!!Tanzania nchi yangu ikaonekana ipi chini ya Udikiteta ambao ni Silent.
 
mkulima gwakikolo
Hii ni hatari Sana🥺
 
Yaani hawa vijana wa CCM wakiwa barabarani nakwenye makundi ya watu wawe making Sana na kujishusha.

Hii kauli ya spika itawanyoosha kweli. Akina mama wanaijadili hii kauli vibaya. Ni nani atakubali kunyooshwa au mwanae anyooshwe. Maisha mitaani ni magumu wanahasira hawachagui Cha kuongea.

Aombe radhi na arekebishe hiyo kauli. Amemwaga petrol barabarani.
Aombe tu radhi na afafanue ile kauli ilikusudia nini !!
 
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.

Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa Spika wa Bunge letu Katika kikao cha UVCCM, kwa kuwataka vijana hao kuwa wasimvumilie mtu yoyote, aidha kutoka CCM au vyama vya upinzani, kuwa washughulike naye, atakayemsema vibaya Rais wetu Samia Suluhu Hassan!

Hayo maneno ni ya hatari Sana Katika nchi inayohubiri kudumisha amani kila siku.

Hivi kutoa "critical criticism" kwa kiongozi wa nchi, au kwa Spika wa Bunge, au hata kwa Mbunge yeyote, lengo likiwa kurekebisha mfumo ambao utauona siyo wa Haki, hivi kuna ubaya gani, Hadi Spika wetu atoe maneno ya vitisho vya kiasi hicho?

Katiba ya nchi yetu, ambayo ni sheria mama, Katika ibara ya 18(1) inatoa uhuru kwa kila mtanzania kutoa maoni yake.

Hivi Spika Tulia Ackson, anajaribu hata kupingana na Katiba ya nchi yetu, iliyotoa uhuru wa wananchi, kutoa maoni yao?

Hivi Spika Tulia Ackson, anajua kuwa kutokana na hayo matamko yake aliyoyatoa kwa huo Umoja wa vijana wa CCM, unaweza kuleta machafuko makubwa ya umwagaji damu nchini?🥺

Kutokana na maelezo hayo ningependa kumwomba Spika Tulia Ackson, ajiuzulu nafasi yake ya u-Spika wa Bunge Ili kuliepusha Taifa hili na machafuko ya umwagikaji damu

Mungu ibariki Tanzania
Mpe muda kidogo atajiuzulu tu pale itakapotokea mtu ameshughulikiwa kulingana na hoja yake
 
Inasikitisha sana
Na huyo ndo kiongozi unayetegemea aongoze mhimili wa kutengeneza sheria zitakazotoa haki kwa wananchi wote!!

Tanzania yangu nakulilia sana, ni wapi tulipokosea? Ni wapi waliotengeneza katiba yetu walipokosea? Ni lini walioshiba katika nchi hii watamuona mnyonge? Why wakishakalia hivyo viti wanasahau kila kitu?

Ipo siku Mungu aishie atakasirika, na nchi itaongozwa katika misingi ya haki kwa watu wote!!
 
... ikumbukwe HE US Ambassador to Tanzania alimtembelea Mh. Sugu kwenye biashara zake na kupata chakula cha mchana kwenye hoteli yake huko Mbeya.

Kidiplomasia sio jambo dogo lile na ukizingatia 2025 sio mbali lazima wengine kauli zisizo na control ziwatoke ovyo! Fahamu zitakuja kurudi baadaye sana.
 
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.

Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa Spika wa Bunge letu Katika kikao cha UVCCM, kwa kuwataka vijana hao kuwa wasimvumilie mtu yoyote, aidha kutoka CCM au vyama vya upinzani, kuwa washughulike naye, atakayemsema vibaya Rais wetu Samia Suluhu Hassan!

Hayo maneno ni ya hatari Sana Katika nchi inayohubiri kudumisha amani kila siku.

Hivi kutoa "critical criticism" kwa kiongozi wa nchi, au kwa Spika wa Bunge, au hata kwa Mbunge yeyote, lengo likiwa kurekebisha mfumo ambao utauona siyo wa Haki, hivi kuna ubaya gani, Hadi Spika wetu atoe maneno ya vitisho vya kiasi hicho?

Katiba ya nchi yetu, ambayo ni sheria mama, Katika ibara ya 18(1) inatoa uhuru kwa kila mtanzania kutoa maoni yake.

Hivi Spika Tulia Ackson, anajaribu hata kupingana na Katiba ya nchi yetu, iliyotoa uhuru wa wananchi, kutoa maoni yao?

Hivi Spika Tulia Ackson, anajua kuwa kutokana na hayo matamko yake aliyoyatoa kwa huo Umoja wa vijana wa CCM, unaweza kuleta machafuko makubwa ya umwagaji damu nchini?🥺

Kutokana na maelezo hayo ningependa kumwomba Spika Tulia Ackson, ajiuzulu nafasi yake ya u-Spika wa Bunge Ili kuliepusha Taifa hili na machafuko ya umwagikaji damu

Mungu ibariki Tanzania
Uongozi uliopo madarakani kwa sasa hivi ni wa kinafiki sana, usipomsifia mkuu wa nchi wa kikatiba unahatarisha nafasi yako ndicho anachokifanya spika kwa sasa baada ya kuona kuna mambo anashindwa kuyadhibiti ipasavyo huko bungeni ndio maana akitoka nje kwenye umma kwa kivuli cha ubunge ndio anatamka hayo yote.
Ni bora kiongozi ambaye alikuwa akionesha ukali wake kwa vitendo kuliko anayesema sizuii kukosolewa ila ndani ya moyo na anachoteta na wasaidizi wake na vitendo wanavyovitekeleza ndio utafahamu aina ya uongozi

Vitisho vimekuwa vingi sana dhidi ya wananchi wanaolalamika kutokana na kupuuzwa machungu wanayopitia bila kujibiwa kistaarabu, kwa hoja halisi na kiungwana badala wanatishiwa kunyooka nao
Mkuu wa nchi anasemwa vibaya au anakosolewa ili ajirekebishe kwa kutenda kama mtushi wao kama waajiri wake wakuu?
*NINI MAANA YA KUNYOOOKA NAO? Ufafanuzi tafadhali kabla wananchi hawapandwa na hasira za mkisi
 
Uzuri mabalozi wa UK , Canada , USA na Sweden wako humu
 
Kwa afrika yetu hii hakuna mtawala anaekubali kujiuzulu kwa hiyali yake hata mmoja
 
Yaani inawezekana hata ule uchaguzi wa 2020 yeye na kaka yake Ndui walishinioiza serikali Wabunge wa upinzani wasirudie.bungeni. Huyu anaweza kuwa kirusi Cha serikali kugandiza raia wake.
 
Kwa afrika yetu hii hakuna mtawala anaekubali kujiuzulu kwa hiyali yake hata mmoja
Kama hataki kujiuzulu kwa hiari na kwa heshima, basi tutalazimisha kwa aliyemteua amfukuze kazi
 
Ndugu sikia haya uelezewayo

Wafuatao hawezi kuwaondoa kwenye serikali labda na yeye ajiondoe maana ndio walioshika usukani
Sky, Rope, Chiuta Nyangamara, Mulungu Riz
 
Back
Top Bottom