Unatoa maoni hayo kama IGP Wambura?Jaribu kuandamana uone kama kweli una uhuru wa kutoa maoni yako
watoto wa kike kama wewe ndio wenye hayo maneno lkn sio kwa watoto wa kiume!Jaribu kuandamana uone kama kweli una uhuru wa kutoa maoni yako
Watu wanasema hata kama we ni msomi mzuri, ukishaingia huko ccm kwa kubebwa akili unaziacha nje.Halina ubishi hilo.Mtu mzima,mama wa familia,mke wa mtu,ndugu wa ukoo,shemeji na mkwe wa ukoo,kiongozi wa mhimili wa serikali,msomi wa udaktari wa sheria ambaye hatujawahi kuona vyeti vyake vya matatizo ya afya ya akili kutamka hadharani ujinga ule ni dhahma kwa jamii ya wastaarabu.Maneno yale ndiyo hufanya wadharaulike na kutukanwa hovyo hadharani au mitandaoni.Aibu kubwa sana.
Hilo tumbo angelitunza lionekane ni jema kwa mumewe na hakuitwa tasa.Pia lilitoa watoto wake wanaomtegemea.Siyo kutoa pumzi kwenye hilo tumbo linalokula kodi za wananchi ili awagombanishe haohao wananchi.Kuwajibika ni ngumu saana kwa wadaganyika , kayasema hayo yote ni kwa sababu ya tumbo ndilo linamuongoza kufikilia
Ni kujiendekeza,kujipendekeza,kutafuta sifa na umaarufu kwa kujilegeza mishipa ya fahamu tu.Unamuangalia mtu mzima anatamka maneno ya hovyo kama mwehu.Watu wanasema hata kama we ni msomi mzuri, ukishaingia huko ccm kwa kubebwa akili unaziacha nje.
Unatoa maoni hayo kama IGP Wambura?
Kwa kuwa hayo maandamano ya amani yanaruhusiwa kufanyika kwa mujibu wa Katiba yetu ya nchi.
Wewe ni nani hadi uende kinyume cha Katiba yetu ya nchi??🥺
watoto wa kike kama wewe ndio wenye hayo maneno lkn sio kwa watoto wa kiume!
Kwa hiyo siku zote ambazo mmeshindwa kutokezea kwenye maandamano ni kwa sababu mlikuwa wanawake, ila sasa mmebadilika na kuwa Wavulana?watoto wa kike kama wewe ndio wenye hayo maneno lkn sio kwa watoto wa kiume!
Ni kweli kwa Africa tamaduni ya Kiongozi kujiuzuru bado iko mbali sana ! Labda mtu aende tofauti na mamlaka kuu ya Nchi husika !!Mwenyewe akisoma huu uzi anacheka, haamini kama kuna kitu kinaitwa 'kujiuzulu', yaani unamwambia aruke kutoka kwenye V8?
Harafu yakitokea machafuko wanaliachia usumbufu jeshi la police.Sawa.Na acheke zaidi.Asiporuka kutoka kwenye V8, ipo siku ataruka maneno yake na kuomba ahurumiwe.Na atasema tunamsimanga sana bila sababu.
Yaani hawa vijana wa CCM wakiwa barabarani nakwenye makundi ya watu wawe making Sana na kujishusha.Jamaa wenye akili finyu watajua wameshapewa green light ya kunyooka na wanaowaona hawapo upande wao !! Kauli za namna hii hazifai kabisa kwa mustakabali mwema wa Nchi !!
Huyo na vimbwenerehi wenzie huwa ni viumbe wa kushabikia hata miujinga ilimradi aliyefanya anatokea CCM.Ni viumbe dhalili sana wasiojitambua kama mahayawani tu.Wewe unayesema hivyo, ndiye Tulia mwenyewe?
Hawa vijana wa siku hizi akili zao ni pesa. Ila hii kauli iko vibaya imebeba ujumbe wa kutokuaminiana.Jaribu kuandamana uone kama kweli una uhuru wa kutoa maoni yako