Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo kilichotokeaNi kweli mkuu, maana hakuna uchaguzi uliofanyika 2020. Mwendazake deserved to die.
YESU ndiye BWANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kilichotokeaNi kweli mkuu, maana hakuna uchaguzi uliofanyika 2020. Mwendazake deserved to die.
YESU ndiye BWANA
Ungekuwa mpoooole utafikiri wakati wa A5 JF haikuwepoHappy Valentine rafiki
Wanaweza kwebda mahakamani kupinga kufukuzwa kwao, kwa sababu Baraza la Chadema halijakaa ambalo ndicho chombo cha mwisho kuidhinisha kufukuzwa kwao, ambapo maamuzi hutolewa baada ya wao kuitwa ili wajitetee. Kwa hiyo wakienda mahakamani kupingwa kufukuzwa kwao kwa vile hawajaitwa na Baraza Kuu kujitetea wataendelea kuwa wabunge hadi mahakama itakapotoa hukumu, na inawezekana mahakama ikajatoa hukumu 2025 ambapo watakuwa wameshamaliza kipindi chao cha miaka 5 na kupewa kiinua mgongo!wale walishafukuza uanachama (kwa mujibu wa katiba hawastaili kuwa bungeni ili hata spika mstaafu Mzee Msekwa alishaliongelea) suala la wao kukata rufaa ni maana yake wanataka warudishwe uanachama wao.
Hivi Sabaya alivyofunga miaka 30 ameamua kukata rufaa kwa hiyo maana yake sio mfungwa.
Jurisprudence inaelekeza kwamba unapokata rufaa ni kwamba hukumu iliyotolewa inaendelea kusimama hadi hapo rufaa yako itakaposikilizwa
Hata wewe, hata mimi tutakufa wote. Kwa hiyo hapo hakuna point yoyote umesema!Ndiyo maana alikufa
Nitakufa kicho cha heshimaHata wewe, hata mimi tutakufa wote. Kwa hiyo hapo hakuna point yoyote umesema!
Nani kahoji hili suala maana lilishafungwa. Bunge lilizinduliwa 2020, leo ni 2022- bado tu watu wanahoji? Au walidhani kwa vile Ndugai katoka basi huyu Tulia atakuja na kupindua meza. haiwezekani! Jamani, huu ni msimu wa masika tujikite kwenye kilimo, suala la akina Mdee kutoka au kutotoka halitakuongezeeni mkate kwenye familia zenu! Twende mashambani kujiandalia chakula chetu kwa msimu huu na ujao, mambo ya bungeni wachaneni nayo!Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali:
“Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa haramu halafu akawepo mule ndani. Nchi yetu inaendeshwa Kidemokrasia na Kisheria. Jambo moja tu linalosubiriwa ni watu kumaliza michakato yao inayohusika.
“Jambo moja linalosubiliwa ni kumaliza michakato yao inayohusika ndani ya chama. Katiba yetu inasema mbunge lazima awe mwanachama, kwa hiyo wakimaliza wakaleta taarifa tutachukua hatua.”
Kuhusu mpango wa kurejesha Bunge live, Tulia amejibu: “Hili ni jambo ambalo linazungumzika, wacha tuone sababu zilizolifanya kuondolewa. Tutazungumza na Waziri wa habari kuona nini cha kufanya.”
Mkuu umeongea Sanaa. Nimekuelewa mno mkuu! Kumbe umeenda ndani zaidi kujua wote namna walivyoweza kuingia mle ndani. SawaBinafsi naona waachwe waendelee, nao wale mema ya nchi. Maana tukitafuta uhalali wa wabunge mule ndani wanaweza wasifike 50. Wengi ni kazi haramu ya mwendazake! Huu ulimwengu wa tatu ni changamoto sana.
YESU NI BWANA.
Mkuu, mi naona yupo sahihi. Walikata rufaa huko kwenye chama chao, rufaa yao haijasikilizwa mpaka leo. Na sina shaka, hao CD 19 hii kesi ya Mbowe, ina faida kubwa sana kwao. Kwani, kuendelea kwa Mbowe kuwa ndani, ndiko kunako sababisha rufaa yao kutosikilizwa. Nina uhakika, kwa MAZINGIRA ya sasa, wakitupwa nje tu na chama chao, na huko Bungeni wataondolewa. Pia, nina imani Tulia huyu, sio yule wa MWENDAZAKE! Hata hiyo picha, kanawili kwa muda mfupi!CHADEMA haiwatambui sijui anataka mchakato wa chama gani?
Total rubbish, wewe ukihukumia kifungo miaka 4 jela ukakata rufaa hutatumikia kifungo chako mpaka rufaa yako isikilizwe?Mkuu, mi naona yupo sahihi. Walikata rufaa huko kwenye chama chao, rufaa yao haijasikilizwa mpaka leo. Na sina shaka, hao CD 19 hii kesi ya Mbowe, ina faida kubwa sana kwao. Kwani, kuendelea kwa Mbowe kuwa ndani, ndiko kunako sababisha rufaa yao kutosikilizwa. Nina uhakika, kwa MAZINGIRA ya sasa, wakitupwa nje tu na chama chao, na huko Bungeni wataondolewa. Pia, nina imani Tulia huyu, sio yule wa MWENDAZAKE!
Wajiajiri kama sisiDaah jamani tuwaache kina Mdee,huku nje kugumu 😒
Nakubaliana na weweWale walipelekwa na Ccm kwahio kufikiria Tulia atawatoa ni Big No
sasa si waende huko mahakamani kwa mujibu wa katiba ya chadema wameshafukuzwa uanachama na wamekata rufaa baraza kuu,Wanaweza kwebda mahakamani kupinga kufukuzwa kwao, kwa sababu Baraza la Chadema halijakaa ambalo ndicho chombo cha mwisho kuidhinisha kufukuzwa kwao, ambapo maamuzi hutolewa baada ya wao kuitwa ili wajitetee. Kwa hiyo wakienda mahakamani kupingwa kufukuzwa kwao kwa vile hawajaitwa na Baraza Kuu kujitetea wataendelea kuwa wabunge hadi mahakama itakapotoa hukumu, na inawezekana mahakama ikajatoa hukumu 2025 ambapo watakuwa wameshamaliza kipindi chao cha miaka 5 na kupewa kiinua mgongo!
Kwahio wale hela za kina nani?Daah jamani tuwaache kina Mdee,huku nje kugumu [emoji19]
Walipelekwa na CCMsasa si waende huko mahakamani kwa mujibu wa katiba ya chadema wameshafukuzwa uanachama na wamekata rufaa baraza kuu,
Hawa hadi sasa sio wanachama wa chadema
Huu ni uvunjwaji wa katiba ulio zahiri
Huyu bi msumali anajifurahisha