Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijiunga CCM PhD yako kama unayo unaacha kwa kabati la nguo home.. sababu haitahitajika kabisa.Hivi na huyu ana Phd?
[emoji871]Ingekuwa haiwatambuwi ingekwisha mkabidhi @Kibatala faili ili afunguwe kesi.CHADEMA hawapokei ruzuku wala hawajawahi kupeleka A/C no kwa msajili mpaka leo
Urafiki wa Mashaka!
Wakina Halima watakuwaje na document lakini Spika hana? Hivi unaamini kuwa Ndugai angekuwa na ushahidi wowote kuwa Mbowe au Mnyika au kiongozi wowote wa Chadema wamebariki kitendo cha wakina Halima bungeni angesita kuiweka hadharani? Taarifa hiyo ingekuwa na athari zaidi kwa Mbowe kuliko hii kesi ya ugaidi. Wakina Halima waliamua waliyoamua kwa sababu zao wenyewe.[emoji871]Ingekuwa haiwatambuwi ingekwisha mkabidhi @Kibatala faili ili afunguwe kesi.
[emoji871]Lakini wanakwama kwa sababu wanajua Document waliyonayo kina Mdee ni sahihi na halali.
Suala hapa si uanachama wao. Suala ni taratibu zilizopelekea wao kuwa wabunge. Hata kama Baraza litawasema wao ni wanachama bado hawatakuwa na haki ya kukaa bungeni kwa sababu taratibu hazikufuatwa.
Ila kwa Spika wetu suala la uanachama halina maana. Kuna mbunge alijivua uanachama, akajiunga chama kingine lakini Spika akamuita aende bungeni kuwakilisha chama ambacho aliishajitoa. Jamaa akawa bungeni akiwakilisha Chadema akiwa mwanachama wa CCM!
Suala la uanachama wa wakina Halima lisipewe uzito wowote. Spika abanwe kwa kukiuka taratibu za utambuzi wa wabunge wa viti maalum.
Amandla...
sasa si waende huko mahakamani kwa mujibu wa katiba ya chadema wameshafukuzwa uanachama na wamekata rufaa baraza kuu,
Hawa hadi sasa sio wanachama wa chadema
Huu ni uvunjwaji wa katiba ulio zahiri
Huyu bi msumali anajifurahisha
Nitakufa kicho cha heshima
Ipi?KAZI IENDELEE
Linaibuliwa na nani? Na linakuzuia vipi kwenda shamba?Tuachane nao, taratibu zipo kama ni halali au siyo halali tutakuja kuambiwa maana hii topic ilikuwa imekufa wakati wa Ndugai inakuja kufufukia kwa Tulia wakati miaka inakwenda kasi na wao wapo bungeni, sisi twende zetu mashambani mvua zinanyesha sasa.
Uko sahihi. Tuache miguu yao iendelee kuota matende.wale walishafukuza uanachama (kwa mujibu wa katiba hawastaili kuwa bungeni ili hata spika mstaafu Mzee Msekwa alishaliongelea) suala la wao kukata rufaa ni maana yake wanataka warudishwe uanachama wao.
Hivi Sabaya alivyofunga miaka 30 ameamua kukata rufaa kwa hiyo maana yake sio mfungwa.
Jurisprudence inaelekeza kwamba unapokata rufaa ni kwamba hukumu iliyotolewa inaendelea kusimama hadi hapo rufaa yako itakaposikilizwa
Linaibuliwa na nani? Na linakuzuia vipi kwenda shamba?
Amandla...
Keshakwambia ni wabunge halali!!!!Suala hapa si uanachama wao. Suala ni taratibu zilizopelekea wao kuwa wabunge. Hata kama Baraza litawasema wao ni wanachama bado hawatakuwa na haki ya kukaa bungeni kwa sababu taratibu hazikufuatwa.
Ila kwa Spika wetu suala la uanachama halina maana. Kuna mbunge alijivua uanachama, akajiunga chama kingine lakini Spika akamuita aende bungeni kuwakilisha chama ambacho aliishajitoa. Jamaa akawa bungeni akiwakilisha Chadema akiwa mwanachama wa CCM!
Suala la uanachama wa wakina Halima lisipewe uzito wowote. Spika abanwe kwa kukiuka taratibu za utambuzi wa wabunge wa viti maalum.
Amandla...
Ndio hapo unapojidanganya. Chadema zamani waliisha watoa mawazoni. Wakimalizia au wasipomalizia ubunge wao hawana umuhimu tena kwa Chadema kama ambavyo wakina Lusinde wasivyokuwa na umuhimu.Hao watamaluza ubunge wao bila shida hata ungekaza musuli wa shi goni, Tulia kakuambia ni wabunge halali. Twende mashambani msimu ndio huu. pesa ya hao wabunge ni mali yao na famia zao, hupati hata senti tano. Wahi shamba msimu ndio huu!
Sasa wasiwasi wako unatoka wapi?Keshakwambia ni wabunge halali!!!!
Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali...
Spika Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa Wabunge 19 wa Viti Maalum wa CHADEMA ni halali, kwani wangekuwa haramu wasingekuwepo bungeni. Amesema bunge likipewa taarifa rasmi kuwa wamefukuzwa uanachama, watakoma kuwa wabunge, kwani mbunge sharti awe mwanachama wa chama cha siasa.Sasa wasiwasi wako unatoka wapi?
Amandla...