SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Kwani hujui CHAUMMA NI project ya veggies?Sidhani kama atafanya hivyo maana ameisha jitangaza kuwa ni mwanachama mtarajiwa wa CCM. Hatapata nafasi Chaumma.
Amandla...
Wewe wasema. Lakini si ajabu maana kuna watu wanaamini kuwa vyama vyote vya upinzani ( isipokuwa Chadema) ni sehemu ya CCM. Na hata ndani ya Chadema, mtu yeyote akitofautiana na uongozi uliopo amelambishwa asali na CCM.Kwani hujui CHAUMMA NI project ya veggies?
Ni kweli Esther Matiko kwao ni Tarime vijijini kule wanakolima bangi.Esther Matiko aende Tarime Vijijini huku Mjini sidhani kama anaweza kushinda. Pia ni kumchonganisha na Michael Kembaki ambae ni CCM damu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Utu mbele ya 400m?Ni kweli Esther Matiko kwao ni Tarime vijijini kule wanakolima bangi.
Aende huko kwao. Ndio maana ni mvuta bangi mzuri.
Kiufupi hana sifa baada ya kuwa ni msaliti na mtu wa maslahi binafsi kuliko utu.
Hii ndio shida. Ila pesa zinapitqUtu mbele ya 400m?
Ni mwizi wa wake wa vibabu ambavyo vimeshaishiwa nguvu.Duh. Kumbe Salum Mwalim naye ni meingi....!!?
kuhusu tabia zake binafsi sizijui lakini namhusudi sana mbunge huyu jinsi anavyochangia bungeniSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
CCM mbele ya madaraka haina urafiki hata sekunde 1Hivi wanaijua CCM hawa? Wamuulize Lipumba na Mbatia 2020
Sure katiba ni ya kijinga snSahihi kabisa. Ndio maana covid 19 wote wanapambana sana kupata hizo nafasi maana wanajua wakipitishwa tu basi ni wabunge
This time Jiwe is not existSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.
Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.
Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.
Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Akichunguza vizuri hata huyo wa tatu atakua sio wakwake."Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!
wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Watu mnadata zaidi ya deni la taifaEsther ni mwanamke malaya malaya.
Aliolewa na kijana mwenzake.
Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.
Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.
Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.
Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.
Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.
Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
Very sad mkuu! Sidhani kama kuna kitu inauma kama hii.Akichunguza vizuri hata huyo wa tatu atakua sio wakwake.
Inawezekana 🤣🤣🤣Akichunguza vizuri hata huyo wa tatu atakua sio wakwake.
Ndio maana hawataki uchaguzi huru wa HakiHapo labda wafanye dhurma zao
Kwani ndiyo wananza kufanya?Hapo labda wafanye dhurma zao
Mwisho wa esta na salum sio mzuri. Amin maneno yangu!Esther na Salum Mwalim wanategea mume wa Esther afe waoane ila babu yuko kwenye wheelchair na kakataa kufa.