Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Afadhali wewe hujamhukumu Tulia kwa kuongozwa na itikadi binafsi.
 
Spika alijibu vizuri kwa mukutadha wa muuliza swali! Muuliza swali kwa umbo la sauti ya lugha swali lilikuwa limebeba kejeli na dhalau na alitakiwa amjibu hivyo!
 
Amejibu vizuri. Pia, yeye si mwanadiplomasia nguli hivyo anaendelea kujifunza. Tumpe muda. Bado kufikia viwango vya yule prime minister wa Barbados lakini given time and opportunity she will reach there.
Halafu kwa hawa wazungu tumlinde wa kwetu. Akirudi huku ndo aje apambane na spana za Sugu hapo Mbeya mjini
 
Kuna sheria inayozuia viongozi wa IPU kutembelea nchi kama Russia? Mbona hawajaanza na kuwazuia wabunge wawakilishi toka Russia wasihudhurie mikutano ya IPU mpaka watakapoacha kuivamia Ukraine? IPU sio UN
Tulia hajazuiwa kwenda urusi alipaswa ajibu swali na sio kupanic na kuaza kupayuka kama vile sio msomi bhn
 
Alitakiwa awafungie wassingie bungeni vikao 7!
 
Kaa kwa kuturia suburi sku akirudi kuna maandamano ya kwenda kumpokea airport na sifa na vifijo kibao
 
well said mkuu...
 
Nabii hakubaliki kwao lakini ukiwa na maono ya mbali ametuheshimisha Tanzania na Africa.
 
Yeah.....
 
Tulia hajazuiwa kwenda urusi alipaswa ajibu swali na sio kupanic na kuaza kupayuka kama vile sio msomi bhn
Ukisikiliza vizuri anasema ameshajibu hilo swali mara nyingi hapo awali tena alikwenda Urusi baada ya Raisi zelensky na speaker wake kusema hawatakuwepo ukraine wanaenda kuhudhuria mkutano Ulaya au marekani na mialiko yake huko ukraine ipo ofisini kwake wakachukue
 
Maoni ya mtanzania mnyonge
 
Mbona la Samweli Sitta linasifiwa?
Kinafiki tu kama kawaida yetu wabongo. Huyu dada wanamsifia hata hao wazungu kwa kuweza kusimama dhidi ya ubaguzi wa mawaziri wa Ulaya.

Tanzania nchi aliyotoka kuna wajuaji kuliko hao mawaziri, kuliko hao watu wa media za kimataifa.

Siasa mbovu za CCM na CHADEMA zinatengeneza kundi kubwa la wajinga.
 
Asante sana Bagamoyo nimepata ujumbe wote kwa ujumla wake.

Yaani rais Tulia Ackson lugha yake ya mwili hata kabla ya kufikia muda wa kuulizwa maswali live alikuwa amesha changanyikiwa mno, ingawa maswali hayo siyo ya papo kwa hapo, tayari walishawasilisha kwa maandishi kama kanuni za mabunge zinavyoelekeza. Hii ilimpa muda wa kutosha kujitayarisha, lakini pamoja na hisani hiyo ya kiutaratibu wa kibunge, Dr. Tulia Ackson aka - panick.

Labda kuna kitu anakijua kama impeachment n.k kinakuja na hii rasharasha ya maswali ni mwanzo wa wabunge kusuka jambo kubwa juu ya uwezo wake ..
 
Angeishia apo tu ingetosha sio kujizalilisha vile halafu wanawake wanapenda kujitilisha huruma kanakwamba wanaonewa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…