MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe kama nani nikuonyeshe? Nitolee ungese hapaNionyeshe kejeli Kwa spika hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kama nani nikuonyeshe? Nitolee ungese hapaNionyeshe kejeli Kwa spika hapa
Afadhali wewe hujamhukumu Tulia kwa kuongozwa na itikadi binafsi.Nimeiona hiyo clip,nadhani kama taifa kuna sehemu moja tunakwama.
Viongozi wetu wamezoezwa kutojibu hoja,badala yake kutumia nguvu kuzima hoja.
Kitu hiki kinatudhalilisha sana,tunapokuwa sehemu ambazo huwezi kuzima hoja kwa kutumia nguvu
bali unatakiwa kuzima hoja kwa kutumia nguvu ya hoja uliyonayo.
Tunahitaji sana kujitafakari,kwa sehemu kubwa niliona alijitahidi kujibu
ila akaharibu alipoaanza kupanic,vinginevyo mimi niliona amejitahidi kujibu.
Hasa alipoulizwa kwanini ulianzia urusi na si ukraine? binafsi yale majibu nilimuelewa.
Hakuna bunge la CCM utakalosema ni zuri.Sijawahi kuona bunge la kijinga kama hili tangu nizaliwe
hahahaha! wewe ndo unatakiwa kwenda kozi.Sasa kama huelewi kilichoongelewa tutakusaidieje?
Jaribu refresher english course kwa Ras Simba Mwenge.
Spika alijibu vizuri kwa mukutadha wa muuliza swali! Muuliza swali kwa umbo la sauti ya lugha swali lilikuwa limebeba kejeli na dhalau na alitakiwa amjibu hivyo!Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Tulia hajazuiwa kwenda urusi alipaswa ajibu swali na sio kupanic na kuaza kupayuka kama vile sio msomi bhnKuna sheria inayozuia viongozi wa IPU kutembelea nchi kama Russia? Mbona hawajaanza na kuwazuia wabunge wawakilishi toka Russia wasihudhurie mikutano ya IPU mpaka watakapoacha kuivamia Ukraine? IPU sio UN
Alitakiwa awafungie wassingie bungeni vikao 7!Tulia yuko sahihi. Amewatuliza na kuwakata ngebe watulie na wamheshimu. Wewe unaleta mada upo huku huwezi kujua anakutana na mangapi akiwa kule mpaka ameamua kuwatolea uvivu. Huwa simkubali tulia lakini katika hili namuunga mkono. Wanamuuliza maswali ambayo ameshayajibu pia aliwasoma akawajua mawazo yao ndio maana akawapa za uso.
Swali ni kwani wao wanasemaje? Naona kama sisi watz ndo tunalivalia njuga sana swala hilo wakati wenye jambo lao wapo kimya. Ugomvi wetu wa ndani tusiupeleke nje.
Ndivyo mlivyo Wanawake. Hampendi kuhojiwa........Wewe kama nani nikuonyeshe? Nitolee ungese hapa
Mbona la Samweli Sitta linasifiwa?Hakuna bunge la CCM utakalosema ni zuri.
well said mkuu...Ni kweli 😆😆
Kule Watu wana akili kubwa sana na sio kina Msukuma na yule mgogo wenye kujua kusoma na kiandika kama siga ya ubunge.
Vilaza.
Halafu wasomi wengine wabongo ni wanafiki na machawa.
Mfumo wetu wa elimu unahitajika manoresho makubwa sana.
Msomi hajui kuibua hoja , hajui kujenga hoja, hajui kupangua hoja kwa hoja ni huzuni kwa kweli.
Akiulizwa maswali anawaka na kutishia wananchi.
Hata kwenye ofisi za umma ni hivyo hivyo.
Wakuu wa vitengo na idara ni wadhaifu, hawataki kuulizwa maswali, ukiwamuuliza maswali wanakuchukia, wanakuundia zengwe.
Wanakuona ni threat.
wasomi wengi wamefuzu masomo kwa kudesa vyuoni ndio maana Hawana ile mindset transformation.
Ni Watu wa hewala hewala tu.
Ndio maana tija na ufanisi wa kazi kwenye taasisi za umma sio wa kuridhisha.
Kwanza upatikanaji wa Viongozi ni shida kubwa .
Yeah.....Infact unaweza mtizama kama shujaa Kwa namna alivyoshambulia Kwa jazba.
Ila mimi,
Nimeona haya kuwa ule uendeshaji wa bunge kibabe Kwa kutiisha watoa mada anataka kuuendeleza huko.
Nimeona aibu sana Kwa kuendekeza 'opinion' mfano hayo maneno ya 'colonized'
Nimeona aibu mimi namna Dunia inavyotutazama wa Africa tabia tulizonazo Kwa kushika madaraka makubwa.
Nimeona aibu
Ukisikiliza vizuri anasema ameshajibu hilo swali mara nyingi hapo awali tena alikwenda Urusi baada ya Raisi zelensky na speaker wake kusema hawatakuwepo ukraine wanaenda kuhudhuria mkutano Ulaya au marekani na mialiko yake huko ukraine ipo ofisini kwake wakachukueTulia hajazuiwa kwenda urusi alipaswa ajibu swali na sio kupanic na kuaza kupayuka kama vile sio msomi bhn
Maoni ya mtanzania mnyongeAisee🤣🤣 watu mna negativity sijawahi ona!
Et wazungu wanajua kuanzisha hoja ni ma- genius humpima mtu kwa uwezo wa kufikiri🤣🤣 yani mmekua wasemaji wao!
Mara kingereza cha tukuyu mara inferiority🤣🤣🤣
Aisee !!! Kwa akili hizi wasiojulikana hawatoisha
Kinafiki tu kama kawaida yetu wabongo. Huyu dada wanamsifia hata hao wazungu kwa kuweza kusimama dhidi ya ubaguzi wa mawaziri wa Ulaya.Mbona la Samweli Sitta linasifiwa?
Asante sana Bagamoyo nimepata ujumbe wote kwa ujumla wake.
Angeishia apo tu ingetosha sio kujizalilisha vile halafu wanawake wanapenda kujitilisha huruma kanakwamba wanaonewa vileUkisikiliza vizuri anasema ameshajibu hilo swali mara nyingi hapo awali tena alikwenda Urusi baada ya Raisi zelensky na speaker wake kusema hawatakuwepo ukraine wanaenda kuhudhuria mkutano Ulaya au marekani na mialiko yake huko ukraine ipo ofisini kwake wakachukue