Spika Tulia ameshindwa kujibu maswali badala yake kaongea vitu ambavyo hajaulizwa kwa kupanic na mhemko

Mwenye tatizo la akili ni yupi kati ya wanaojadili mapungufu ya speech na yule anayesema wanaume suruali wana wivu.
 
Linguist nadhani umeshindwa kupita na line by line ya maneno yake.

Ukisikiliaza mwanzoni tu anaeleza wazi kama amekuwa akiwajibu maswali hayo ila still wanayauliza na hata tone za waulizaji utagundua zimekaa kwa style ile ya leo ndiyo leo tueleze.

Sijawahi kumshabikia wala kupenda majibu ya Tulia kwa wabunge wa Tz ila kwenye hili amejibu kwa usahihi.
 
haja ilikua kubwa mno gentleman,

hasa ukilinganisha na majivuno na ghadhab za wauliza maswali ambao wanadhani powerful IPU president Dr.Tulia Akson ni dhaifu sana na hakustahili kuitembelea cremlin ya Mzee Putin huko Russia na alistahili pekee kuitembelea Zelensky ambae hatulii Ukraine πŸ’

Kwani muuliza swali mwenyewe useless mihemko wa Ukraine alikua ana haja gani kumuuliza Powerful IPU president Dr.Tulia kwamba who told you to visit Russia?

kwamba muuliza swali hajui wajibu wa IPU right? Halafu mtu kama huyo ni wa kumchekea tu, right 🀣
 
Hichi ulichokoment ndio hasa tabia za watu wenye wivu, hasira, na walipigika kimaisha. You are likely to be one of them.
 
..masuala ya ukoloni yanahusiana nini na maswali aliyoulizwa?

..hoja ya ukoloni ni kichaka cha kukimbia maswali, sawa na ilivyo hoja ya jinsia.
sasa gentleman,
naona na wewe una mihemko tu kama yule mbunge wa Ukraine aliemuuliza powerful IPU president Dr.Tulia eti who told you to visit Russia?🀣

kwamba alikua anadhani Dr.Tulia ataomba ruhusa kwake ama ama makasiriko yalikua ya nini? Kwamba Russia hastahili kutembelewa na Rais wa IPU right?

Maswali yote yalijibiwa kwa weledi mkubwa sana na ndio maana ukumbi mzima ulilipuka kwa makofi huku yule mbunge wa Ukraine akikusanya kila kilicho chake na kutokomea kusiko julikana 🀣

Nadhani leo ndio wamemuelewa Dr Tulia Akson ni mtu wa aina gani, right? au hujafuatilia?🀣

kawapigisha kazi za maana siku nzima wazee wanapiga myao tu 🀣
 

Kwa kweli ni shida.
Ndio maana nasema mfumo wetu wa elimu una shida kubwa sababu products zinzotoka za wasomi ni mashaka.
 
Mwenye tatizo la akili ni yupi kati ya wanaojadili mapungufu ya speech na yule anayesema wanaume suruali wana wivu.
Ni wale wanaume suruali wanaojadili vitu wasivyokua na uwezo navyo, wale wanaume suruali ambao hawajawahi hata kua viranja kwenye shule za msingi na sekondari.
 
Hichi ulichokoment ndio hasa tabia za watu wenye wivu, hasira, na walipigika kimaisha. You are likely to be one of them.
Hakuna mtu aliyefanikiwa kimaisha akawa ana negativity, mtu maskini aliyekosa muelekeo wa maisha hua ana hasira na wivu kwa waliomzidi hasa huyo mtu awe mwanamke.... tafuta hela dume suruali
 
Yaani ni bora usingejibu kabisa. Unatakiwa ujibu hoja kwa hoja ukishaona umeanza kutoa kashfa kwenye mijadala maana yake ni kuwa huna hoja hivyo ni bora unyamaze.
Hoja???? Wee umeona huyo jamaa anahoja hapo??
Am not wasting my time.
 
Kaenda na tabia za huku ambako yeye kama spika anaweza kuongea atakavyo. Anadhani na huko ni hayo hayo.
 

..Ukraine si moja kati ya mataifa yaliyowahi kuwa na makoloni.

..Spika Tulia amemtukana muuliza swali toka Ukraine kwamba ana colonial mentality.🀣
 
Hivi wakiamua kupiga kura ya kukosa imani naye itakuwaje.

Mwingine tumemtuma huko WHO mwambieni asiende kufanya maajabu huko.
 
Hata kupewa uongozi katika taasisi hiyo sio jambo dogo, humo ukumbini kuna wasomi wangapi wanazeeka na kustaafu bila ya kupewa hiyo nafasi ya urais?. Siku zote kwepa akili za kibongo za kudharau kila kitu.
Nafasi yenyewe moja tu wewe ulitaka kila mmoja ashike nafasi hiyo? Utoto huo.
 
Anaongea mambo ya ukoloni sijui kutoka Afrika badala ya kujibu alichoulizwa 😁😁😁😁

Ukichunguza sana alifeli Kwa sababu anakawa anahisi anaulizwa as personal wakati anaulizwa kama Rais wa IPU.

Hili ni tatizo la saikolojia Kwa Wanawake Huwa wanadhani unamshambulia personality yake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…