Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
😆Wewe ni chama hani kwanza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆Wewe ni chama hani kwanza??
Mwenye tatizo la akili ni yupi kati ya wanaojadili mapungufu ya speech na yule anayesema wanaume suruali wana wivu.Wana JF wengi wenu hasa wanaume suruali mna wivu na chuki kali sana, hua najiuliza ni maisha yamewapiga sana huko kitaa au ni tatizo la afya ya akili? mnajitia wajuaji kwenye kila kitu watu wenyewe exposure hamna hamjawahi hata kuizunguka nchi yenu mmebaki na mawazo mgando basi kichefu chefu tu,
Acheni wivu kwa watu waliowazidi akili, maarifa na mali mnazidi kujikosesha baraka na kuzidisha umaskini kwenye familia zenu.
Linguist nadhani umeshindwa kupita na line by line ya maneno yake.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
haja ilikua kubwa mno gentleman,Kulikuwa na haja gani ya kuwaambia, 'wamheshimu, au natoka nchi ndogo au wasiwe na fikra za kikoloni',
Haya yote kiuongozi ni kuonyesha hali ya kutojiamini inferiority complex, kwanza hakuulizwa haya pili kwani wao (wazungu) hawajui kuwa anatoka kwenye nchi ndogo.
Hichi ulichokoment ndio hasa tabia za watu wenye wivu, hasira, na walipigika kimaisha. You are likely to be one of them.Wana JF wengi wenu hasa wanaume suruali mna wivu na chuki kali sana, hua najiuliza ni maisha yamewapiga sana huko kitaa au ni tatizo la afya ya akili? mnajitia wajuaji kwenye kila kitu watu wenyewe exposure hamna hamjawahi hata kuizunguka nchi yenu mmebaki na mawazo mgando basi kichefu chefu tu,
Acheni wivu kwa watu waliowazidi akili, maarifa na mali mnazidi kujikosesha baraka na kuzidisha umaskini kwenye familia zenu.
sasa gentleman,..masuala ya ukoloni yanahusiana nini na maswali aliyoulizwa?
..hoja ya ukoloni ni kichaka cha kukimbia maswali, sawa na ilivyo hoja ya jinsia.
!Unayemuita mweupe nina uhakika huwezi kuongea vile mbele ya halaiki ile ya wasomi wa dunia nzima.
Kupigiwa kura sio issue mkuu, tunaongelea content za speech yake!
Kwani mzee wa jalalani aliposema kaleta dawa za covid toka Madagasca hakuwa na viwango vya jalalani? Hata Tulia ni zao la jalalani na ni mwalimu wao pia. Udoktori hata yule mkuu wa mkoa aliyeachishwa kazi akaanza maombi alikuwa nao pia, udoktori bongo ni michongo tu hawana content yoyote ndo maana Kishimba na mwenzake wa geita wanadharau elimu sana sasa
Ni wale wanaume suruali wanaojadili vitu wasivyokua na uwezo navyo, wale wanaume suruali ambao hawajawahi hata kua viranja kwenye shule za msingi na sekondari.Mwenye tatizo la akili ni yupi kati ya wanaojadili mapungufu ya speech na yule anayesema wanaume suruali wana wivu.
Hakuna mtu aliyefanikiwa kimaisha akawa ana negativity, mtu maskini aliyekosa muelekeo wa maisha hua ana hasira na wivu kwa waliomzidi hasa huyo mtu awe mwanamke.... tafuta hela dume surualiHichi ulichokoment ndio hasa tabia za watu wenye wivu, hasira, na walipigika kimaisha. You are likely to be one of them.
Hoja???? Wee umeona huyo jamaa anahoja hapo??Yaani ni bora usingejibu kabisa. Unatakiwa ujibu hoja kwa hoja ukishaona umeanza kutoa kashfa kwenye mijadala maana yake ni kuwa huna hoja hivyo ni bora unyamaze.
Kaenda na tabia za huku ambako yeye kama spika anaweza kuongea atakavyo. Anadhani na huko ni hayo hayo.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
sasa gentleman,
naona na wewe una mihemko tu kama yule mbunge wa Ukraine aliemuuliza powerful IPU president Dr.Tulia eti who told you to visit Russia?🤣
kwamba alikua anadhani Dr.Tulia ataomba ruhusa kwake ama ama makasiriko yalikua ya nini? Kwamba Russia hastahili kutembelewa na Rais wa IPU right?
Maswali yote yalijibiwa kwa weledi mkubwa sana na ndio maana ukumbi mzima ulilipuka kwa makofi huku yule mbunge wa Ukraine akikusanya kila kilicho chake na kutokomea kusiko julikana 🤣
Nadhani leo ndio wamemuelewa Dr Tulia Akson ni mtu wa aina gani, right? au hujafuatilia?🤣
kawapigisha kazi za maana siku nzima wazee wanapiga myao tu 🤣
Ameonesha dunia kuwa kiasi gani ni mjinga, msomi hawezi kuzungumza upuuzi kama huu alizungumza
View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/1650206085542956/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
hahahahahahahaaaaaaaaAlitakiwa awafungie wassingie bungeni vikao 7!
Nafasi yenyewe moja tu wewe ulitaka kila mmoja ashike nafasi hiyo? Utoto huo.Hata kupewa uongozi katika taasisi hiyo sio jambo dogo, humo ukumbini kuna wasomi wangapi wanazeeka na kustaafu bila ya kupewa hiyo nafasi ya urais?. Siku zote kwepa akili za kibongo za kudharau kila kitu.
Anaongea mambo ya ukoloni sijui kutoka Afrika badala ya kujibu alichoulizwa 😁😁😁😁Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Yagangwe yajayo...
Tumpe heshima yake, chuki na wivu kwa umahiri alionao havitusaidii chochote.Nafasi yenyewe moja tu wewe ulitaka kila mmoja ashike nafasi hiyo? Utoto huo.