Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inferiority complexWazungu wakijuq unahizo mentality watakuwa wanakujaza kila wanapokuona ili upoteze mwelekeo.
Kikubwa ni kujibu hoja na kutoa mwelekeo sio kujitetea na kuhisi watu hawakuheshimu.
Nilimuelewa ila kama na wewe nakuelewamo.
Nimeshaandika na itabaki kuwa hivyo hata usemeje haisaidii.We naye hovyo. Hapa hakuna vyama huKo IPU hakuna ccm bro acha kuhemka.
Ameonesha dunia kuwa kiasi gani ni mjinga, msomi hawezi kuzungumza upuuzi kama huu alizungumza
View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/1650206085542956/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Alichoongea sio kiingereza ni chongereza cha kinyakyusa kwao kuleHicho kingereza sasa😅😅😅
Mkuu mambo ya kudhani anatoka nchi maskini, colonized yametoka wapi? Kwanini anatembea na mentalitu hii?si kweli gentleman,
unapotosha. Kajibu maswali ya wabunge wenye mihemko sana kwa ufasaha mno na ameongea kimamlaka na kuwaambia ukweli wabunge kwamba wasifikiri alikotoka bado wako chini ya wakoloni na hahitaji ruhusa kutembelea Ukraine wala Russian kwa mapenzi bali ni utaratibu na wajibu wa bunge hilo kufanya hivyo kote ulimwenguni 🐒
Nilikuwa sijasikiliza Clip nili rely on comentators tu.Alichoongea sio kiingereza ni chongereza cha kinyakyusa kwao kule
Hahaha.......Ni Hulka ya Mwafrika asiyestaarabika.Nimeshaandika na itabaki kuwa hivyo hata usemeje haisaidii.
Kwa hiyo wewe unajiona umestaarabika? Duh kazi ipo😎.......Ni Hulka ya Mwafrika asiyestaarabika.
Akikosolewa kwa makosa ya wazi badala akubali na ajiboreshe yeye anakaza fuvu.
walidhani Dr Tulia ni mnyoooonge,wale hawajatishika isipokuwa mshangao na hawatakuja chagua mjinga wanamna yake Toka afrika....
eti who told you to visit Russia?🤣Mkuu mambo ya kudhani anatoka nchi maskini, colonized yametoka wapi? Kwanini anatembea na mentalitu hii?
Watu wengi sana wanaenda Ulaya kufanya kazi na shughuli zingine hatimaye huwa hawafikii malengo kwa sababu kama hizi za Dr Tulia.
Akiona wazungu wamekusanyika wanakula ana hisi wanamtenga kwa sababunyeye ni Mwafrika wakati hawakumzuia. Vitu vidogo kama kula tu vinamtoa kwenye reli.
Sasa alitakiwa ajibu. Na sio kuongea vitu ambavyo havipo.eti who told you to visit Russia?🤣
kwamba Dr Tulia alihitaji ruhusa ya huyo mbunge wa Ukraine mwenye mihemko sio 🤣
Ndio ni mnyonge ndio maana akazidi kujifafanua kuwa yeye ni Mwafrika anatoka nchi maskini za chini na hadhani kama anauwezo wa kuongoza IPU.walidhani Dr Tulia ni mnyoooonge,
Kwani hawakujua kwamba hamko chini ya ukoloni? Hakukua na mantiki yoyote ya kuhusisha ukoloni na alipotoka katika kujibu maswali! Unaulizwa kwa nini ulienda anasema waliandika barua, kuna faida gani anafoka kwamba tuliwajulisha kwa barua, kwa nini hukwenda Ukraine kwanza anajibu Zelensky hakuwepo, nknk hapo swali gani kajibu sasa au uchawa tu unatukereketa labda tupate pia tafsiri ya ras simbasi kweli gentleman,
unapotosha. Kajibu maswali ya wabunge wenye mihemko sana kwa ufasaha mno na ameongea kimamlaka na kuwaambia ukweli wabunge kwamba wasifikiri alikotoka bado wako chini ya wakoloni na hahitaji ruhusa kutembelea Ukraine wala Russian kwa mapenzi bali ni utaratibu na wajibu wa bunge hilo kufanya hivyo kote ulimwenguni 🐒
Kapanic sana mama palikua hakuna haja ya kuanza kupayuka ohoo mara you should treat me with dignity,Kwan kuuliziwa mashwali ndo kunaonyesha wamekudharau? Kwan angejibu vizur na kuwaumbua Kwa majib mazur si angeonekana yupo vzur?? Sasa anaongea as if hataki maswali ,kama vile anataka meza zigongwe na kumsifia muda wote!!Naona wewe ndiyo umepanic.
Sikiliza clips zote na uzielewe.
Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Elewa mjadala ule kwa kina sio kuishia kupingapinga tu kila jambo. Kaulizwa kwanini kaipa kipaumbele Russia ambaye ni mtuhumiwa akiiacha Ukraine ambayo ni mhanga.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Ras Simba pale Magomeni Mapipa.Kwani hawakujua kwamba hamko chini ya ukoloni? Hakukua na mantiki yoyote ya kuhusisha ukoloni na alipotoka katika kujibu maswali! Unauliwa kwa nini ulienda anasema waliandika barua, kuna faida gani anafoka kwamba tuliwajulisha kwa barua, kwa nini hukwenda Ukraine kwanza anajibu Zelensky hakuwepo, nknk hapo swali gani kajibu sasa au uchawa tu unatukereketa labda tupate pia tafsiri ya ras simba
Hahaha ....unajichosha tu mkuu. Bora ukae kimya tuPia tupunguze huu 'uchawa' kwa taasisi za kizungu, tupunguze hii hulka ya kilofa ya kujiona hatuwezi katika kila suala.