Pre GE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio kweli ushindi kwake nje nje sugu akomae na hoteli yake
Kwa ishu ya Luhaga Mpina Mbeya hatumtaki tena. Badala ya kusimama kama Mhimili wa kuisimamia serikali anawatosa wananchi anadhani yy ni waziri mkuu serikalini!. Wananchi tunajua wajibu wa Bunge. Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Ataanzisha matamasha mengi tu tutamlia viposho vyake sana halafu kwenye uchaguzi tunamchapa. Akagombee Tukuyu, Magu saa hz hayupo aliyembeba. Na mama saa hz anahangaika na yake.
 
Hongereni sn
 
Back
Top Bottom