Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utarejesha majawabu muda ukiwadia uzuri bao la kono na bao na kuomba msamaha wa kinaa kwa Mungu vimeshafichuka.Sio kweli ushindi kwake nje nje sugu akomae na hoteli yake
Kama hulijui hilo la DP WORLD dhidi ya Tulia basi huna uwezo wa kushiriki huu mjadalaSasa mambo ya do world yanawahusu nini wanambeya?
Kwa mujibu wa Sheria/ kanuni za TLS, ukiwa Rais huruhusiwi kushiriki uongozi wa kisiasaMwabukusi atagombea Jimbo la busokelo
Kwa mujibu wa Sheria/ kanuni za TLS, ukiwa Rais huruhusiwi kushiriki uongozi wa kisiasaMwabukusi atagombea Jimbo la busokelo
Tatizo wakikosea tuu wakachagua hao kina Kajujumele sijui Sugu,yaani hiyo miradi mnayoiona hapo Mjini itaisha 2030 na Serikali haitaleta mradi wowote.Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Wewe ndo huna uwezo unachanganya siasa za kitaifa na siasa za jimboni ndo maana mnafeli vibaya wewe hujiulizi kwanini wabunge maarufu kitaifa kama ni mnyika walifeli vibaya majiboni?Kama hulijui hilo la DP WORLD dhidi ya Tulia basi huna uwezo wa kushiriki huu mjadala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harrison Mwakyembe yuko kwenye jimbo la kupambana na LGBT. Hana time na ubunge, kwanza anajuwa hakubaliki
Kwa mujibu wa Sheria/ kanuni za TLS, ukiwa Rais huruhusiwi kushiriki uongozi wa kisiasaMwabukusi atagombea Jimbo la busokelo
Pita mbali huna unalolijua weweWewe ndo huna uwezo unachanganya siasa za kitaifa na siasa za jimboni ndo maana mnafeli vibaya wewe hujiulizi kwanini wabunge maarufu kitaifa kama ni mnyika walifeli vibaya majiboni?
Hao wote ni watu wa SSH, HILO jimbo kitapigwa pasu na kila mmoja atarudi bungeniSpika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Huku Mbeya hatumhitaji.Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Hilo liko wazi kabisa, ukishaona hapa Mbeya wanawake wenzako hawakusapoti sana, jua hali yako itakuwa ngumu sana mwakani.Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Wakifanya hivyo itakuwa nafuu sana kwa Tulia na atarudi bungeni bila kutumia nguvu nyingi sana.Hao wote ni watu wa SSH, HILO jimbo kitapigwa pasu na kila mmoja atarudi bungeni
Hakuna Jimbo linagawanywa kwa akili finyu kama ya kwakoHao wote ni watu wa SSH, HILO jimbo kitapigwa pasu na kila mmoja atarudi bungeni
Narudia huijui mbeya vzrWewe ndo utakuwa huijui mbeya ya wasomi yaani mtu amwache msomi Dr Tulia akamchague mvuta bangi sugu?
Wewe ndo hujui siasa za mbeya kwa sasa niambie ni kitu gani cha kijamii sugu kakifanya ambacho kimewagusa na mbeya hata wampe kula za huruma?Narudia huijui mbeya vzr
Itoshe kusema tutarudi hapa baada ya uchaguzi
Tubakize maneno mkuu
Hata kama Sugu hajafanya lolote lakini huyo Kigagula Tulia HATOBOI.Wewe ndo hujui siasa za mbeya kwa sasa niambie ni kitu gani cha kijamii sugu kakifanya ambacho kimewagusa na mbeya hata wampe kula za huruma?
Siasa zimebadilika tunataka kuona vitendo sio debe tupuHata kama Sugu hajafanya lolote lakini huyo Kigagula Tulia HATOBOI.
Na Magu wa kumuibia kura hayupo
Ni vitendo gani amefanya huyo kibibi kwa miaka 2020-24 leo? Unashabikia ujinga tuSiasa zimebadilika tunataka kuona vitendo sio debe tupu