Pre GE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

Pre GE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sidhani kama CDM wataambulia jimbo lolote zaidi ya Tunduma. Tena itategemea na sarakasi za Mbowe na mambo yake ya asali, wanaweza kutoka kapa.
 
Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Labda utawaka wewe spika yupo speed 130 mbele ndio kwanza sugu anafata kanuni na sheria za barabaran amkutie wap sasa??
 
Mkuu, hivi huyo mwamba atagombea ubunge?
ndio ,lazima agombee na chama ni CHADEMA kwasababu zandani zinaonesha kilakitu anakifanya chini ya uangalizi wa LISU antpass MUGWAI na anavinasaba na CHADEMA
 
Sio kweli ushindi kwake nje nje sugu akomae na hoteli yake
Tulia hawezi kumshinda Sugu hata kama Sugu asipopiga Kampeni. Mbeya ina Kata 36, Tulia anakubalika kwenye Kata za Iduda, Itezi, Igawilo kwa wajinga anaowonga hela ya pombe.

Huku kwingine Tulia hakubaliki kamwe
 
Sugu yeye anakubalika kwenye vijiwe vya bangi tu ila majority mbeya mjini hawamweli maana hawapendi bangi labda akajaribu kugombea chuga
 
Sugu yeye anakubalika kwenye vijiwe vya bangi tu ila majority mbeya mjini hawamweli maana hawapendi bangi labda akajaribu kugombea chuga
Basi CHADEMA na CCM wote hawana wagombea. Ni wakati sasa ACT ikatumia madhaifu haya
 
Wewe ndo utakuwa huijui mbeya ya wasomi yaani mtu amwache msomi Dr Tulia akamchague mvuta bangi sugu?
Kisomo cha Tulia kimesaidia nini kama ameshindwa kuona ubovu wa mkataba wa DP WORLD?? Au ufisadi kwenye uagizaji sukari.
 
Back
Top Bottom