Pre GE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni vitendo gani amefanya huyo kibibi kwa miaka 2020-24 leo? Unashabikia ujinga tu
Na wewe unashabikia ujinga tu Tulia kajihusisha kwenye mambo mengi ya kijamii hata kupitia taasisi yake ya Tulia trust tuambie sugu zaidi ya kujijengea hoteli yake binafsi kaifanyia nini mbeya?
 
Tatizo wakikosea tuu wakachagua hao kina Kajujumele sijui Sugu,yaani hiyo miradi mnayoiona hapo Mjini itaisha 2030 na Serikali haitaleta mradi wowote.

Mark my words.Kwa Mbeya ni mara 1,000 Tulia Ili Mkoa usogee kuliko hao.

Jeuri haiwezi shindana na Mamlaka.
Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki??hii nchi mtu unamheshimu kumbe kavaa kiatu, soksi zimetoboka
 
Sidhani kama CDM wataambulia jimbo lolote zaidi ya Tunduma. Tena itategemea na sarakasi za Mbowe na mambo yake ya asali, wanaweza kutoka kapa.
Mwanaume mzima unawasifia wanaume wenzio wa tunduma???[emoji1745][emoji1745]
 
Wewe ndo utakuwa huijui mbeya ya wasomi yaani mtu amwache msomi Dr Tulia akamchague mvuta bangi sugu?
Itabidi watumie nguvu kubwa sana na ulaghai ambazo zitamuharibia taswira yake kama spika wa bunge la JMT na lile la IPU. Njia rahisi ni kugawanya majimbo tu, nina hakika watafanya hivyo. Watu wa Mbeya ni watata sana na ninawaona mwelekeo wao tu, wengi hawamwelewi huyu mdada.
 
Kama ni watata wangeleta utata 2020
 
Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki??hii nchi mtu unamheshimu kumbe kavaa kiatu, soksi zimetoboka
Wewe ndio mjinga na pengine huelewi siasa za Tanzania.

Naendelea kukukumbusha kwamba siasa za Tanzania Kila mtu atakula alikopeleka mboga.

Mbeya wakithubu tuu kuchagua hao mbulukenge wengine itakuwa ndio mwisho wa miradi unayoiona,hiyo imeletwa Kwa sababu ya Dk.Tulia.

Iko hivyo upende au usipende, muulize Mwabukusi baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa TLS ameshasema hana Mpango wa kupingana na Serikali Kama mlivyodhani Kwa sababu alifanya hivyo atatengwa na maana ya kuwa Rais wa TLS itakuwa ni hasara na hili Rais alishaliweka wazi ,kama hutaki basi.

Mambo ya kuchagua Wapinzani Yana maana kama tuu watashika Dola kinyume chake ni adhabu na hasara.

So Mbeya wachague Wapinzani at their own risks,miaka yote ya Magufuli Cha maana alichofanya ni kuanzisha Hako kajengo hapo ka Meta nothing else Kwa sababu za kuchagua Wapinzani, fanyeni tena muone.
 
Na wewe unashabikia ujinga tu Tulia kajihusisha kwenye mambo mengi ya kijamii hata kupitia taasisi yake ya Tulia trust tuambie sugu zaidi ya kujijengea hoteli yake binafsi kaifanyia nini mbeya?
Ondoeni huo uchafu wenu mmetuletea Mbeya, peleka kwenu TUKUYU. Nani kakuambia tunataka mashindano ya ngoma? Eti Tulia marathon?? Ni mwanariadha gani kutoka Tulia marathon ameweza kuingia viwango vya kitaifa kwa marathon??

Sana sana Tulia amefanya Mbeya Mjini kuwa mahali pa hovyo kwa kukopesha bajaj 8,000 ambazo zimejaa kwenye barabara finyu na kutuletea foleni za bila sababu
 
Sugu aliifanyia nini jamii alikopesha hata baiskeli?
 
Kwani unasubiri kukopeshwa baisikeli na Mbunge ndiyo upige hatua kimaisha?

Uwezo wako wa kufikiri ni HAFIFU
Wewe ndo uwezo wako hafifu kama mbunge ameshindwa kubadilisha hata maisha ya mwananchi mmoja zaidi ya kubadili maisha yake binafsi yanafaa nini wapiga kura wake?

Sugu awashukuru wanambeya wamemtengenezea mtaji hoteli akomae na hoteli yake
 
Sugu the most overrated kote kuanzia kwenye hip hop na kwenye siasa
Tena ashukuru ile migogoro ya kamati za siasa ccm mbeya ilimbeba. Ila safari hii hana chake
 
Ni nani waliobadilishwa maisha na bajaj za Tulia?

Hizo bajaj wanaokopa kwa kuweka hatimiliki za viwanja. Wengi wameshindwa kumaliza madeni na viwanja vimeuzwa na madali wa Mahakama
 
Mimi nakubaliana na wewe kuhusu Sugu. Kama CDM wana mgombea mwingine wamlete.

Lakini hata huyo TULIA hakubaliki kabisa na wapiga kura wa kawaida ukiacha wapambe wake wachache huko Iduda, Itezi, Igawilo Uyole ambako ndiko wajinga wamejaa.

Kama utashindanisha hawa wachovu 2 kati ya Sugu na Tulia nakuhakikishia Sugu ataibuka kidedea
 
Ni nani waliobadilishwa maisha na bajaj za Tulia?

Hizo bajaj wanaokopa kwa kuweka hatimiliki za viwanja. Wengi wameshindwa kumaliza madeni na viwanja vimeuzwa na madali wa Mahakama
Wapo walioshindwa na wapo waliofaulu je sugu kawafanyia nini wanambeya?
 
Ni nani waliobadilishwa maisha na bajaj za Tulia?

Hizo bajaj wanaokopa kwa kuweka hatimiliki za viwanja. Wengi wameshindwa kumaliza madeni na viwanja vimeuzwa na madali wa Mahakama
Kuna walioweza kumaliza mikataba na Bajaj wamebaki nazo je maisha yao hajabadilika na je sugu kawafanyia nini wanambeya mpaka wampe kura?
 
Back
Top Bottom