Na wewe unashabikia ujinga tu Tulia kajihusisha kwenye mambo mengi ya kijamii hata kupitia taasisi yake ya Tulia trust tuambie sugu zaidi ya kujijengea hoteli yake binafsi kaifanyia nini mbeya?Ni vitendo gani amefanya huyo kibibi kwa miaka 2020-24 leo? Unashabikia ujinga tu
Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki??hii nchi mtu unamheshimu kumbe kavaa kiatu, soksi zimetobokaTatizo wakikosea tuu wakachagua hao kina Kajujumele sijui Sugu,yaani hiyo miradi mnayoiona hapo Mjini itaisha 2030 na Serikali haitaleta mradi wowote.
Mark my words.Kwa Mbeya ni mara 1,000 Tulia Ili Mkoa usogee kuliko hao.
Jeuri haiwezi shindana na Mamlaka.
Mwanaume mzima unawasifia wanaume wenzio wa tunduma???[emoji1745][emoji1745]Sidhani kama CDM wataambulia jimbo lolote zaidi ya Tunduma. Tena itategemea na sarakasi za Mbowe na mambo yake ya asali, wanaweza kutoka kapa.
Nawasifia??? Kwani kuchagua CDM ni sifa?? Uli nkonyofu fijo mwana ugwe?Mwanaume mzima unawasifia wanaume wenzio wa tunduma???[emoji1745][emoji1745]
Itabidi watumie nguvu kubwa sana na ulaghai ambazo zitamuharibia taswira yake kama spika wa bunge la JMT na lile la IPU. Njia rahisi ni kugawanya majimbo tu, nina hakika watafanya hivyo. Watu wa Mbeya ni watata sana na ninawaona mwelekeo wao tu, wengi hawamwelewi huyu mdada.Wewe ndo utakuwa huijui mbeya ya wasomi yaani mtu amwache msomi Dr Tulia akamchague mvuta bangi sugu?
Kama ni watata wangeleta utata 2020Itabidi watumie nguvu kubwa sana na ulaghai ambazo zitamuharibia taswira yake kama spika wa bunge la JMT na lile la IPU. Njia rahisi ni kugawanya majimbo tu, nina hakika watafanya hivyo. Watu wa Mbeya ni watata sana na ninawaona mwelekeo wao tu, wengi hawamwelewi huyu mdada.
Wewe ndio mjinga na pengine huelewi siasa za Tanzania.Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki??hii nchi mtu unamheshimu kumbe kavaa kiatu, soksi zimetoboka
Ondoeni huo uchafu wenu mmetuletea Mbeya, peleka kwenu TUKUYU. Nani kakuambia tunataka mashindano ya ngoma? Eti Tulia marathon?? Ni mwanariadha gani kutoka Tulia marathon ameweza kuingia viwango vya kitaifa kwa marathon??Na wewe unashabikia ujinga tu Tulia kajihusisha kwenye mambo mengi ya kijamii hata kupitia taasisi yake ya Tulia trust tuambie sugu zaidi ya kujijengea hoteli yake binafsi kaifanyia nini mbeya?
Sugu aliifanyia nini jamii alikopesha hata baiskeli?Ondoeni huo uchafu wenu mmetuletea Mbeya, peleka kwenu TUKUYU. Nani kakuambia tunataka mashindano ya ngoma? Eti Tulia marathon?? Ni mwanariadha gani kutoka Tulia marathon ameweza kuingia viwango vya kitaifa kwa marathon??
Sana sana Tulia amefanya Mbeya Mjini kuwa mahali pa hovyo kwa kukopesha bajaj 8,000 ambazo zimejaa kwenye barabara finyu na kutuletea foleni za bila sababu
Kwani unasubiri kukopeshwa baisikeli na Mbunge ndiyo upige hatua kimaisha?Sugu aliifanyia nini jamii alikopesha hata baiskeli?
Ana gundu balaa! Kabahatisha tu hapo TLS amegombea Busokelo mara mbili akatoka kapaMkuu, hivi huyo mwamba atagombea ubunge?
Wewe ndo uwezo wako hafifu kama mbunge ameshindwa kubadilisha hata maisha ya mwananchi mmoja zaidi ya kubadili maisha yake binafsi yanafaa nini wapiga kura wake?Kwani unasubiri kukopeshwa baisikeli na Mbunge ndiyo upige hatua kimaisha?
Uwezo wako wa kufikiri ni HAFIFU
Sugu the most overrated kote kuanzia kwenye hip hop na kwenye siasaKwani unasubiri kukopeshwa baisikeli na Mbunge ndiyo upige hatua kimaisha?
Uwezo wako wa kufikiri ni HAFIFU
Sheria/ kanuni za TLS zinamzuia kugombea nafasi za kisiasa akiwa tayari ni Rais wa TLS.Ana gundu balaa! Kabahatisha tu hapo TLS amegombea Busokelo mara mbili akatoka kapa
Ni nani waliobadilishwa maisha na bajaj za Tulia?Wewe ndo uwezo wako hafifu kama mbunge ameshindwa kubadilisha hata maisha ya mwananchi mmoja zaidi ya kubadili maisha yake binafsi yanafaa nini wapiga kura wake?
Sugu awashukuru wanambeya wamemtengenezea mtaji hoteli akomae na hoteli yake
Mimi nakubaliana na wewe kuhusu Sugu. Kama CDM wana mgombea mwingine wamlete.Sugu the most overrated kote kuanzia kwenye hip hop na kwenye siasa
Tena ashukuru ile migogoro ya kamati za siasa ccm mbeya ilimbeba. Ila safari hii hana chake
Wapo walioshindwa na wapo waliofaulu je sugu kawafanyia nini wanambeya?Ni nani waliobadilishwa maisha na bajaj za Tulia?
Hizo bajaj wanaokopa kwa kuweka hatimiliki za viwanja. Wengi wameshindwa kumaliza madeni na viwanja vimeuzwa na madali wa Mahakama
Kuna walioweza kumaliza mikataba na Bajaj wamebaki nazo je maisha yao hajabadilika na je sugu kawafanyia nini wanambeya mpaka wampe kura?Ni nani waliobadilishwa maisha na bajaj za Tulia?
Hizo bajaj wanaokopa kwa kuweka hatimiliki za viwanja. Wengi wameshindwa kumaliza madeni na viwanja vimeuzwa na madali wa Mahakama