Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope

Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai

Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni

Ahsanteni sana


 
Wakuu,

Akizungumza kwenye ibada ya mazishi Spika Mstafu Hayati Job Yustino Ndugai kwenye Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, leo tarehe 10 Agosti, 2025 Spika Tulia amezungumzia kuhusu watu waliokebehi na kufurahi kifo cha Job Ndugai

Alisema watu ambao wanafahamu umuhimu wa Ndugai kwenye nchi hii ni wengi kuliko watu ambao waanakebehi na kuzungumza maneno ambayo yanahuzunisha familia


 
Back
Top Bottom