Huyu naye si yuko kwenye mpango wa kukatwa ubunge? Au hajui?Huyu ajuza mwenye roho mbaya kama sura ake anajipendekeza kwa maza aendelee kuendesha bunge kama tawi la UVCCM
And the verse versa is true....Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga
Ila kuiba kura na kutoa rushwa si chukizo kwa mwenyezi MunguSpika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
Mnafiki mkubwa huyuSpika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
Zaidi ya uchawi wenyeweDah siasa mpaka msibani.
Hawa jamaa ni wachawi
Pesa na madaraka havijawahi kukinai kama ilivyo kwa uke usioshiba manii
Wengi mpaka wanaogopa kupeana fomu.Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
Pesa na madaraka havijawahi kukinai kama ilivyo kwa uke usioshiba manii
Wakiambukizana maradhi wakafa wote atasemajeSpika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
Hii kauli haimfai anayo basi?Ma tako yake
Kweli, huyu betina angeomboleza kimyakimya bila kuleta hizi kebehi.Hawa washenzi huwa hawafahamu kuwa kuna muda kukaa kimya ni busara zaidi??!!
Sasa kwa nini serikali inawaogopa hawa wachache,mara watufungie gerezani Tundu Lissu,mara waifungie mitandao ya kijamii?Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope