Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope

Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai

Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni

Ahsanteni sana


Ila kuteka na kuua mungu wenu anafurahia!
 
Yaan,migogoro inatakiwa kuwa last option kakweli.
Hivi kipindi kile tundu lisu angekufa viongoz wa serikali akiwemo ndugai wangefika msibani na kusikitika mbele ya kamera kabsaa?
Kunasiku watu watatimuliwa kwenye misiba na wenyemsiba.
 
Nadhani siyo muda sahihi sana kujisahihisha "ukweli siyo mali ya wengi au wachache"
 
Back
Top Bottom