Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Haka ka RANGO huwa kana kiburi Cha Madaraka mnoo!,huwa hakawezi kuongea Kwa hekima kama kiongozi!
 
Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope

Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai

Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni

Ahsanteni sana

Hao wasanii wasiofika hata 10 ndio wawe wengi kuliko watz? Trillion 120 mlizokopa zipo wapi?!
 
Aliomba msamaha mkakataa mkamla kichwa akiwa hai, leo kanyamaza amekuwa mtaam? Wanafiki bana
 
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Mpumbavu tu huyo

Mwambieni kuwafanya wengine marehemu ni chukizo zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu kuliko kuwasema marehemu ambao enzi za uhai wao walijifanya miungu watu na kuanza kuwageuza wenzao marehemu.
 
Rango bwana,kumbe huwa wanajua kama wanachukiwa. Aisee mimi siwezi ishi kwenye jamii nikijua nawakosea na wanaishi kwa mateso sababu yangu.

Haya majitu sijui yanaishi vipi.
 
Shida ya viongozi wetu baada ya kujitafakari kwanini wenzao wakifa wananchi wanafurahi? Anakuja na vijembe na vitisho, tatizo la viongozi kujiona wana akili na wamekamilika, malaika awakosei shida sana.
 
Huyu dada hajui kuvaa au kila nguo anayovaa inamkataa!!!?? Sijawahi kumuona kapendeza au sura yake ndo ngumu?

Kwenye kuvaa vizuri rais samia anajitahidi japo sipendi anavyoendesha nchi kwa kuwaonea na kuwakandamiza wapinzani japo mi sina chama ila napenda haki
 
Ni ka-mama ka hovyo sana. Kila msiba ni lazima katoa fyongo. Ha-kana busara.
 
Back
Top Bottom