Ni aibu kwa kiongozi nadala yabkuhamasisha umoja na mshikamano yeye anajiingiza kwenye migogoro ambayo inaweza kugawa taifa na kukisambaratisha.Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
Dah ujumbe mzuri sana huu ; Kwa wasioelewa Iko hivi.Kinafurahia chenyewe, yeye ndiye mnufaika wa kujiudhulu kwa job, na mama yake ni mnufaika wa kifo Cha Magufuri....vichwa maji vimekutana. Waendelee kufurahi maana ndio zao...alafu wakiwa hadharani wanajifanya wanasikitika....moyoni wanafurahi washindani wao wakifariki
Wanawaandaa kisaikolojia.Sasa kwanini wanatumia nguvu nyingi kuaminisha watu kama wao ni wengi...
Ukweli mtupuDah ujumbe mzuri sana huu ; Kwa wasioelewa Iko hivi.
Samia kanufaika na kifo Cha JPM
Rango kanufaika na anguko la mgogo
DJ Rango bana😂Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
MUNGU wangu ameaanza kuwajibu! Wao si walisema MUNGU awaache kwanza wana jambo lao OKTOBA WANATIKI?Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope
Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai
Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni chukizo mbele ya mwenyezi Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana
Wanufaika wa vifo! Soon kinawabishia hodi!Dah ujumbe mzuri sana huu ; Kwa wasioelewa Iko hivi.
Samia kanufaika na kifo Cha JPM
Rango kanufaika na anguko la mgogo