Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Ila kuiba kura na kutoa rushwa si chukizo kwa mwenyezi Mungu
 
Mnafiki mkubwa huyu
 
Wengi mpaka wanaogopa kupeana fomu.
 
Wakiambukizana maradhi wakafa wote atasemaje
 
Sasa kama wako wengi, kwa nini wanahangaika na hao wachache!
 
Sasa kwa nini serikali inawaogopa hawa wachache,mara watufungie gerezani Tundu Lissu,mara waifungie mitandao ya kijamii?
 
Amejuaje kama wao ni wengi na hao walio kinyume naye ni wachache? Yale yale ya kauli za jumla jumla kwa mtu mwenye PhD ya Sheria. Taabu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…