Spika Tulia, huu si ufisadi kweli Bunge kukodi mabasi ya Shabiby?

Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Ukute we ndugu yangu mwenyewe ni mchoma mahindi kwenye stand ya basi kama mimi hapa.

Halafu unapigwa 300mln na wewe unashangilia Da!!! [emoji20][emoji20][emoji20]Unaamini kabisa katiba Haina umuhimu kwa sasa kwa sababu tu umeaminishwa kuwa upinzani haufai [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kudadeki watu wakunja 300mln maisha yanaendelea kama peponi vile wakati huo mtoto wako darasani anakaa chini

Wakati huo huo ndugu yangu wewe upo busy na kipande cha box unakomaa kupepea ili kukoleza moto wa uchomea mahindi

Ama kweli MJINGA NI WEWE!!!

Poleni sana watanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo mleta mada ni ccm damu damu.
Hii nguvu ya kudai Katiba mpya kipindi Cha Samia imetoka wapi wakati kipindi Cha magufuli alikaa kimya?
Yameguswa maslahi yake?
 
huyo mleta mada si unajua kuwa ni ccm damu damu.?
umeshajiuliza kwanini adui yako anajiunga na wewe?
Kwani Magufuli ndio nchi? Mlevi wa madaraka na katiba wapi na wapi?
 
Baadhi ya wafuasi wa ccm kujiunga na ili vugu vugu la katiba mpya kunaacha maswali.ni Jambo zuri lakini tujiulize ule utaratibu wao wa kumkingia kifua kila mwenyekiti wait wa chama umeisha lini?
Au kuna maslahi yao yameguswa.
Ata baada ya magu kuondoka imejihidhihirisha kua katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa yasiyohitaki kufumbiwa macho zaidi.
 
Hahahaaaa! hiyo nayo ni hoja kweli?!? kwani wangekodisha ya nani?!? hebu piga hesabu kidogo tu shabiby basi lake linapopiga route ya ddm-dar-ddm anapata kiasi gani?!? jumlisha pesa ya kufidia uchelewashaji malipo maana sote tunajua nani dunia nzima unaposupply serikali unachaji juu kidogo maana serikali huwa zinachelewa kulipa. duuh na hiyo katiba inayodaiwa kama ndio mnataka iongelee ishu za namna hii!?!? basi mi sioni sababu ya kudai katiba itakayojaa majungu. TUACHENI WIVU WA KIJINGA TUCHAPE KAZI TUJILETEE MAENDELEO
 
Cha muhimu ni kujipanga kwenye connection na wewe uambulie makombo.

Mimi hii awamu ya 6 sitaki kuwa mlalamikaji, tunabanana wote humohumo.
Haha... Ulichoongea ni kweli
Maana watu wanatumia nguvu nyingi
Kulalamika, wakati inabidi nao wabanane
Humo Humo nao waambulie

Ova
 
Huyo mleta mada ni ccm damu damu.
Hii nguvu ya kudai Katiba mpya kipindi Cha Samia imetoka wapi wakati kipindi Cha magufuli alikaa kimya?
Yameguswa maslahi yake?

Magufuri alitamka hadharani kuwa yeye hashauriki.
 
Kwani Ndugu hujui hiki ni Kipindi Gani Katika Serikali Hii ya Awamu ya Sita.

We tafuta ugali wako tu Haijalishi Unapataje.

Ukiwaza Hawa Wanasiasa Utashangaa unazeeka Kwa Kuwalaumu tu na Wao watoto wao Wanafaidi wako wanalia
Itakuwa sawa mimi kupata ugali wangu kwa kukunyang'anya wewe ugali wako!?
 
Hii ni Tanzania ya aliye kwenye mfumo utake usitake ulaji muhimu bwana hii ndo Tanzania.
 
Huyo Shabiby atakuja kuwafaa wakati wa kampeni za uchaguzi atawapa hayo mabasi yake mfanyie kampeni na mtanyamaza kimya, kwa kisingizio mtakuja kumuangalia mbele ya safari, hapo ni CCM wanamlipa fadhila.

Ufisadi CCM ni nyumbani kwake.
Unafagilia nini ndugu au unafurahia kijani kupiga minoti?
 
Huu Ni Ujanja Tu
Bunge Halishindwi Kununua Buses Zake Tano Kwaajili Ya Kamati
 
Wenye CCM Yao hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…