Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Kwani Magufuli ndio nchi? Mlevi wa madaraka na katiba wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Ukute we ndugu yangu mwenyewe ni mchoma mahindi kwenye stand ya basi kama mimi hapa.Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Ukute we ndugu yangu mwenyewe ni mchoma mahindi kwenye stand ya basi kama mimi hapa.
Halafu unapigwa 300mln na wewe unashangilia Da!!! [emoji20][emoji20][emoji20]Unaamini kabisa katiba Haina umuhimu kwa sasa kwa sababu tu umeaminishwa kuwa upinzani haufai [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kudadeki watu wakunja 300mln maisha yanaendelea kama peponi vile wakati huo mtoto wako darasani anakaa chini
Wakati huo huo ndugu yangu wewe upo busy na kipande cha box unakomaa kupepea ili kukoleza moto wa uchomea mahindi
Ama kweli MJINGA NI WEWE!!!
Poleni sana watanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Magufuli ndio nchi? Mlevi wa madaraka na katiba wapi na wapi?
Angeua watu Kichaa yule, ndio Maana Mungu akamtwaa
Ata baada ya magu kuondoka imejihidhihirisha kua katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa yasiyohitaki kufumbiwa macho zaidi.
Hahahaaaa! hiyo nayo ni hoja kweli?!? kwani wangekodisha ya nani?!? hebu piga hesabu kidogo tu shabiby basi lake linapopiga route ya ddm-dar-ddm anapata kiasi gani?!? jumlisha pesa ya kufidia uchelewashaji malipo maana sote tunajua nani dunia nzima unaposupply serikali unachaji juu kidogo maana serikali huwa zinachelewa kulipa. duuh na hiyo katiba inayodaiwa kama ndio mnataka iongelee ishu za namna hii!?!? basi mi sioni sababu ya kudai katiba itakayojaa majungu. TUACHENI WIVU WA KIJINGA TUCHAPE KAZI TUJILETEE MAENDELEOWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10.
Ni katika mikoa ya Iringa, Njombe na kadhalika.
Kila siku (bila ya kujali basi husika limetembea au la) kila basi linalipiwa shilingi milioni 3. Kwa siku 10 na kwa mabasi 10, ni jumla ya shilingi milioni 300.
Milioni 300 kwa siku 10 kweli? Mbunge Shabiby alipataje 'tender' hiyo ikiwa ana mgongano wa kimaslahi? Huu si ufisadi kweli?
Katiba mpya si takwa la Rais wala Kikosi Kazi....wananchi wanataka Katiba Mpya!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Haha... Ulichoongea ni kweliCha muhimu ni kujipanga kwenye connection na wewe uambulie makombo.
Mimi hii awamu ya 6 sitaki kuwa mlalamikaji, tunabanana wote humohumo.
Makongamano ya bavicha kwani walikua wanaomba mboga???kipindi Cha jiwe??Hiyo katiba mpya ingefaa mngeiomba kipindi kile cha Magufuli
Huyo mleta mada ni ccm damu damu.
Hii nguvu ya kudai Katiba mpya kipindi Cha Samia imetoka wapi wakati kipindi Cha magufuli alikaa kimya?
Yameguswa maslahi yake?
Kwani hakuna wengine pia wenye mabasi kama Shabiby!? Ilitangazwa tender kwa wenye mabasi!?Na wewe nunua mabasi ya mchina upewe tenda!
Watu wako bungeni kibinafsi zaidi.
Itakuwa sawa mimi kupata ugali wangu kwa kukunyang'anya wewe ugali wako!?Kwani Ndugu hujui hiki ni Kipindi Gani Katika Serikali Hii ya Awamu ya Sita.
We tafuta ugali wako tu Haijalishi Unapataje.
Ukiwaza Hawa Wanasiasa Utashangaa unazeeka Kwa Kuwalaumu tu na Wao watoto wao Wanafaidi wako wanalia
Unafagilia nini ndugu au unafurahia kijani kupiga minoti?Huyo Shabiby atakuja kuwafaa wakati wa kampeni za uchaguzi atawapa hayo mabasi yake mfanyie kampeni na mtanyamaza kimya, kwa kisingizio mtakuja kumuangalia mbele ya safari, hapo ni CCM wanamlipa fadhila.
Ufisadi CCM ni nyumbani kwake.
Kumekucha Sasa Hivi Urefu Wa KambaNa wewe nunua mabasi ya mchina upewe tenda!
Watu wako bungeni kibinafsi zaidi.
Nami Nasema Wapigwe Tu, Ukijifanya Wewe Imara Utapigwa TuBila katiba mpya tutapigwa sana
Nami Nasema Wapigwe Tu, Ukijifanya Wewe Imara Utapigwa TuBila katiba mpya tutapigwa sana
Wenye CCM Yao haoWabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.