Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli.
Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi.
Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa Bunge
Nukuu" ....Baba Askofu tuko tayari kwenda mbinguni ila sio kwasasa, Baadae."
Hayo yamesemwa leo kanisani mbele ya Askofu Malasusa na wenzie huko Mwanga kwenye ibada ya mazishi ya Mzee Cleopa David Msuya
Mungu hadhihakiwi