PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sums it up hawaamimi wanachounga mkono.

Mbaya zaidi hawana akili za siasa za kujua waonge nini wapi, kuficha hidden feelings zao.

Kiongozi gani wa kitaifa anaweza ongea upuuzi kama huo; hajui hata kudhibiti ndimi yake.

Tatizo letu sio mzungu; ni sisi wenyewe.

Kibongo bongo hiyo ni ‘slip of the tongue’ kwa nchi zingine ni mtu ambae ajaiva kisiasa hata kidogo.
 
Kama ameenda kwa waganga amehakikishiwa unadhani kwanini asiongee kwa dharau na kumdhihaki MUNGU!
 
Sio wanasiasa wote wanakubaliana na mabosi wao.

Moja ya skill ya mwanasiasa, ni learning to bite their tongues.

Mwanasiasa aliebobea hawezi ongea ujinga hivyo kwenye kadamnasi.

She is just stupid

That’s a big political blunder elsewhere in the word, in terms of undermining the current political system.
 
Serikali ya Samia kupitia kwa Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania imeeleza wazi mwaka huu wa uchaguzi haiko tayari kutenda haki! Hii maana yake Serikali ya Samia ipo tayari kuteka, kuua, kuiba kura na kufanya cho chote cha dhuluma ili kushinda uchaguzi! Kwamba viongozi wako tayari kupata adhabu yo yote kutoka kwa Mwenyezi Mungu ikiwa na pamoja na kuunguzwa jehanam ili mradi wapate uongozi!

Kwa kifupi haya yanayohubiriwa kuwa uchaguzi utakuwa wa haki ni uongo! Vyama vya siasa vinavyojiandaa kwa uchaguzi vinapaswa kujitafakari kuwa vinategemea kupata nini kama serikali imejiandaa kuiba kura!

View attachment 3333235
wameamua kushindana na Mungu sasa!
 
Hatuna aibu hata mbele ya madhabahu.
 
Mungu hapangiwi ratiba na mwadamu.Kama kuna mtu anaogopa kwenda huko basis atimize mapenzi yake. Lakini kwa namna hii ya kuwa na chuki na wenye mawazo mbadala na kutokukemea maovu kati yetu,wala hata mbinguni huendi.
 
Sio wanasiasa wote wanakubaliana na mabosi wao.

Moja ya skill ya mwanasiasa, ni learning to bite their tongues.

Mwanasiasa aliebobea hawezi ongea ujinga hivyo kwenye kadamnasi.

She is just stupid

That’s a big political blunder elsewhere in the word, in terms of undermining the current political system.
Alifikaje hapo alipo?
 
Back
Top Bottom