Serikali ya Samia kupitia kwa Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania imeeleza wazi mwaka huu wa uchaguzi haiko tayari kutenda haki! Hii maana yake Serikali ya Samia ipo tayari kuteka, kuua, kuiba kura na kufanya cho chote cha dhuluma ili kushinda uchaguzi! Kwamba viongozi wako tayari kupata adhabu yo yote kutoka kwa Mwenyezi Mungu ikiwa na pamoja na kuunguzwa jehanam ili mradi wapate uongozi!
Kwa kifupi haya yanayohubiriwa kuwa uchaguzi utakuwa wa haki ni uongo! Vyama vya siasa vinavyojiandaa kwa uchaguzi vinapaswa kujitafakari kuwa vinategemea kupata nini kama serikali imejiandaa kuiba kura!
View attachment 3333235