PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Benson Mramba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
766
Reaction score
1,884
Na mimi nimeungana kucheka na waombolezaji wengine kwa kweli.

Nilivyoelewa ni kwamba kipindi hiki cha Uchaguzi Mungu wanamuweka pembeni kwanza wakati huo huo wanawaambia viongozi wa dini ombeeni Uchaguzi.

Haya ngoja tuone yafuatayo sasa kwenye uchaguzi huu baada ya kauli hiyo ya Spika wa Bunge

Nukuu" ....Baba Askofu tuko tayari kwenda mbinguni ila sio kwasasa, Baadae."

Hayo yamesemwa leo kanisani mbele ya Askofu Malasusa na wenzie huko Mwanga kwenye ibada ya mazishi ya Mzee Cleopa David Msuya

Mungu hadhihakiwi
Your browser is not able to display this video.
 
Si ajabu baba askofu alicheka na kupiga makofi.
Yupo wapi JPM aliyejivika umalaika
 
Hawa kweli wamekengeuka, mpaka kumfanya Muumba Wa Mbingu na Nchi, kuwa mtani wao! Wamesahau kuwa tunaishi kwa neema tu.
 
Huyo dada akiwa mzee sijui atakuwa na sura ya namna gani.
 
lazma wakatike kabla la octoba
 
Hawa kweli wamekengeuka, mpaka kumfanya Muumba Wa Mbingu na Nchi, kuwa mtani wao! Wamesahau kuwa tunaishi kwa neema tu.
Hawa hawamjui Mungu..kwa wanayoyafanya wanaweza kumdhihaki Mungu kwa jinsi wanavyoweza mana Wana power, wealth and influence...Mungu ni kama punje ya mchele kwao.
 
Ajipange kwami hakuna ajuae saa wala siku, Mungu huwa hapangiwi na yeyote, Mwaka huu tutaona Mengi
 
Mkiambiwa huyo ni gagula mruka majeneza hamuelewi.
 
Serikali ya Samia kupitia kwa Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania imeeleza wazi mwaka huu wa uchaguzi haiko tayari kutenda haki! Hii maana yake Serikali ya Samia ipo tayari kuteka, kuua, kuiba kura na kufanya cho chote cha dhuluma ili kushinda uchaguzi! Kwamba viongozi wako tayari kupata adhabu yo yote kutoka kwa Mwenyezi Mungu ikiwa na pamoja na kuunguzwa jehanam ili mradi wapate uongozi!

Kwa kifupi haya yanayohubiriwa kuwa uchaguzi utakuwa wa haki ni uongo! Vyama vya siasa vinavyojiandaa kwa uchaguzi vinapaswa kujitafakari kuwa vinategemea kupata nini kama serikali imejiandaa kuiba kura!

Your browser is not able to display this video.
 
Surat Al-Ma’ida (5:8):

"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamiaji wa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa uadilifu. Na chuki ya watu isiwafanye mkose haki. Fanyeni uadilifu; hiyo ndiyo karibu na uchamungu..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…