Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

Bunge lenyewe lakina msukuma!!! Huu mkataba ni wakifala hakuna cha soma kifungu hiki kwapamoja na kile!! Kila kifungu kieleweke wanasheria muache ujingawenu..
 
Huwa nasikia sana utasikia Chama cha Wanasheria wapo Arusha wakimchagua Rais ila yanapotokea mambo ya kisheria hauwasikii na hata Mwanasheria Mkuu wa Serikali mambo ya Sheria utasikia eti Msigwa anataka kulisemea kama vile anapeleka hela za magoli ya CAF Mkapa...
 
Vipengele vingi, havihalalishi kimoja cha Kijinga na cha kuuza nchi!
Kwenye mapambano yoyote yale inatakiwa uwe na uelewa wa kutosha ili uweze kushinda. La sivyo, utapiga kelele lakini huwezi kushinda.

Mimi sijaona huo mkataba, hivyo siwezi kusema kama ni mzuri au ni mbaya.

Lakini ninachojua ni kuwa mikataba yote inayohusu uwekezaji hairuhusu upande wa pili kujitoa kwenye mkataba kwa namna unavyojisikia. Na sababu ipo wazi. Isije ikatokea, mwekezaji ametumia resources zake nyingi katika kuwekeza, ikitarajia uwekezaji wake utamrudishia gharama na kumpa faida, halafu upande wa pili unaamua kujitoa kwenye mkataba. Huyo mwekezaji atakuwa amepoteza mengi, kuanzia pesa, muda na business opportunities.

Lakini mkataba lazima utakuwa na vipengere ambavyo vinaeleza ni mambo gani ukiyafanya au usipoyafanya, utahesabika umekiuka mkataba, na hivyo au kupoteza haki zako au kulazimika kulipa gharama.

Upande wowote unaweza kuvunja mkataba wakati wowote nje ya utaratibu wa mkataba, lakini lazima kutakuwa na gharama ya kuulipa upande wa pili kwa gharama au hasara ilizozisababisha.
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
Angetaka abariki kitu kama hicho angeamuru mkataba ujadiliwe bungeni moja kwa moja. Tunapenda sana kulalamika huku tukisahau kutimiza wajibu wetu.
 
Tatizo sio spika tatizo anaemteua spika ndio anamamlaka ya kupitisha au kutopitisha mikataba!!
HAPO NDIPO MTAKAPOJUA UMHIMU WA MULTIPARTY PARLIAMENT.....Kungepigwa kelele Bungeni Hadi wanaotaka kupitisha huo mkataba WA KARL PETERS wangeona aibu. Sasa Bunge la Chama kimoja hakuna Hoja pinzani ni mwendo wa NDIYOOOOOOOO......unategemea Nini?
 
Muwe na staha basi. Sasa mama yake mzazi ameingiaje kwenye mapishano yenu. Mtakuja kupata laana msijue zimetoka wapi kwa kuwahusisha hata wasiokuwepo kwenye ugomvi wenu!
Ukianzisha ugomvi usinichagulie pa kupiga
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
Utakuwa umejichanganya sana kuamini PhD ya mtanzania.

Huu mkataba sijasikia wanasheria wakiuchambua zaidi ya watu wa kawaida.Unapaswa kujua hata wanasheria tulio nao sio wa kutegemea.

Sisi watanzania tungepiga kelele kupata wakoloni wa kutusaidia kutawala.
Mkichaua waarabu ndio wote msilimu ili muishi maisha ya kawaida.
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
Tulia must go!!!

Sa100 must go.
 
Na
Dispute settlement ni taratibu za kutatua migogoro ya mikataba huko sasa ndio breach inapimwa depending na mdai anataka nini; unaweza vunja ata mkataba wenyewe.
Na kama mkataba umeweka bayana kuwa hauwezi kuvunjwa kwa sababu yeyote ile hata kama patakuwa na breach?

Amandla...
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
KWA huyo spika wenu mnyakyusa Sijui kama hatutauzwa.
 
Back
Top Bottom