livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Hizo ndio taratibu za kutatua migogoro
Kwanza ni diplomatic channel. Ukipitia article 3 (2) utaona hiyo committe inatakiwa kuundwa na wataalamu wa Tanzania na Wamwekezaji. Wao ndio wanapanga namna ya ku execute hiyo miradi. Ndio maana inashauriwa kama kutatokea mgogoro ambao wanaweza yamaliza wapewe kipaumbele kwanza ya kukaa na kujadili; pamoja na njia nyingine za diplomasia ya kiserikali.
Ikishindikana wakaenda ‘arbitration’ kinachopimwa huko ni breach; sasa kama ni serious condition breach unaweza vunja mkataba.
Mkuu umeanza vizuri lkn mwishoni unaweka pumba bila ushahidi, Article 20 inayohusu arbitration imewekwa hapo juu na [mention]Missile of the Nation [/mention] , zimetajwa taratibu za kuundwa kwa hiyo arbitration committee na namuna ya kuondoa tatizo amicabily(Kwa majadiliano/Mazungumzo) . Lkn kwenye hiyo hiyo article hakuna clause yeyote inayoonesha Termination of Contract/Aggreament no matter what happened.
Na hii imekorezwa na hii article kama inavyoonekana hapa chini
No way unaweza kuterminate, arbitration committee ambayo huundwa na member toka both parties za aggreament , Usuluhishi hurejea mkataba huo huo katika kutatua.
Unasema kama committee ikijiridhisha ukiukwaji basi mkataba utavunjwa, onyesha ni wapi hii aggrement ime declare termination ?