Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

Key word hapo ni “Notwithstanding” hiyo ni legal jargon inapotumika katika sentensi za mikataba; inamaanisha ili kuvunja mkataba zitatumika taratibu walizojiwekea. Taratibu ambazo zipo kwenye article 20

3403b897-ac0e-499d-bb76-22c6507d9bd0-jpeg.2649821.jpg
 
Key word hapo ni “Notwithstanding” hiyo legal jargon inapotumika katika sentensi za mikataba; ambayo inamaanisha ili kuvunja mkataba zitatumika taratibu walizojiwekea. Taratibu ambazo zipo kwenye article 20

View attachment 2649836
Article 20 haizungumzi habari za kujitoa katika mkataba, inazungumza habari za usuluhishi(arbitration), na hakuna kipengele ktk arbitration kinachotoa room ya kuchomoka ktk mkataba.
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
Tulia hamna kitu, sometimes Mawaziri wakibanwa na Wabunge anaingilia kati kuwakanyaga Wabunge.
Yule mimi sidhani kama ni Mnyakyusa kweli, Wanyakyusa ni watu wenye misimamo balaa!
 
Dispute settlement ni taratibu za kutatua migogoro ya mikataba huko sasa ndio breach inapimwa depending na mdai anataka nini; unaweza vunja ata mkataba wenyewe.
Screenshot_20230608-155718.jpg

Arbitration hiyo, hakuna kuchomoka kwenye Ndoa. Huu mkataba ni zaidi ya ndoa ya kanisani.
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
Tumepigwa kwa Fei,tukataletwa kwa Yanga kwenda Ikulu mixer vituko vya Morrison, tukaja mabehewa ya gorofa, mkeka wa DED ukabiduliwa then katikati ya haya matukio ndio wakapenyeza ya Bandari, kudadeki hapo ndipo ujue kuna mashivo walichora mchoro, haya wale wa Burundi mjiandae.
 
View attachment 2649856

Arbitration hiyo, hakuna kuchomoka kwenye Ndoa. Huu mkataba ni zaidi ya ndoa ya kanisani.
Hizo ndio taratibu za kutatua migogoro
Kwanza ni diplomatic channel. Ukipitia article 3 (2) utaona hiyo committe inatakiwa kuundwa na wataalamu wa Tanzania na Wamwekezaji. Wao ndio wanapanga namna ya ku execute hiyo miradi. Ndio maana inashauriwa kama kutatokea mgogoro ambao wanaweza yamaliza wapewe kipaumbele kwanza ya kukaa na kujadili; pamoja na njia nyingine za diplomasia ya kiserikali.

Ikishindikana wakaenda ‘arbitration’ kinachopimwa huko ni breach; sasa kama ni serious condition breach unaweza vunja mkataba.
 
Leta vipengele vingi ili tuupime kuliko kuchagua kipengele kinachomgombanisha Tulia na wananchi.

Hujausaidia umma kwa kuja na habari robo.
Kipengele alichokizungumzia Tulia ndicho anachojadiliwa nacho na si vinginevyo, atakapozungumza kingine ndiposa tutaenda nae huko huko, kwanini unahamisha mjadala mtetee Sasa kwamba Ni halali kuwa na Mkataba infinity na uamini kwamba badari yetu ipo salama while hatuna haki ya kuuvunja nomatter what! Anajigimbanisha mwenyewe na wananchi! Bunge lafaa kuhoji uhalali na serikali itoe ufafanuzi na sio kuwaandaa wabunge kisaikolojia kwa namna ambayo watajadili! Huu Ni ujinga
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
Twafwaa,yelewiiii🏃🏃
 
Hizo ndio taratibu za kutatua migogoro
Kwanza ni diplomatic channel. Ukipitia article 3 (2) utaona hiyo committe inatakiwa kuundwa na wataalamu wa Tanzania na Wamwekezaji. Wao ndio wanapanga namna ya ku execute hiyo miradi. Ndio maana inashauriwa kama kutatokea mgogoro ambao wanaweza yamaliza wapewe kipaumbele kwanza ya kukaa na kujadili; pamoja na njia nyingine za diplomasia ya kiserikali.

Ikishindikana wakaenda ‘arbitration’ kinachopimwa huko ni breach; sasa kama ni serious condition breach unaweza vunja mkataba.
Na Breach imekua restricted na Mkataba au iko open ? Tusaidie
 
Kipengele alichokizungumzia Tulia ndicho anachojadiliwa nacho na si vinginevyo, atakapozungumza kingine ndiposa tutaenda nae huko huko, kwanini unahamisha mjadala mtetee Sasa kwamba Ni halali kuwa na Mkataba infinity na uamini kwamba badari yetu ipo salama while hatuna haki ya kuuvunja nomatter what! Anajigimbanisha mwenyewe na wananchi! Bunge lafaa kuhoji uhalali na serikali itoe ufafanuzi na sio kuwaandaa wabunge kisaikolojia kwa namna ambayo watajadili! Huu Ni ujinga
Bandari yetu ni tatizo letu la miaka mingi na hatuna hoja nyingine ya kuutetea uzembe mahali pale zaidi ya kete ya uzalendo.

Pa kujificha pamekuwa ni uzalendo, tunasahau jinsi ilivyo mzigo mzito unaoukwaza uchumi wa taifa. Tunasahau jinsi wanavyopiga pale kuanzia wakurugenzi mpaka watu wa chini.

Dunia ya sasa haina kabisa muda wa kumsubiri mzembe eti aamke na yeye aanze kutembea wakati wanaomzunguka wote wakiwa wanakimbia.
 
Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi

View attachment 2649785

yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.

Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.

Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.

Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!

Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?

Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!

Tunakwenda wapi?
kuna msomi hapo basi. mpuuzi mkubwa huyo
 
Na Breach imekua restricted na Mkataba au iko open ? Tusaidie
Hakuna breach inayoweza zuiwa na mkataba zama hizi, huo ni sawa na utumwa.

Mkataba wenyewe unakwambia interpretation za terms kwenye kutafsiri itatumika English Law, huko hakuna utaratibu wa milele au kutokupinga.

Ndio maana nikaeleza hapo key word ni ‘notwithstanding’ kwenye hiyo paragraph ya article 23 (4) hilo neno lina uzito, Maana yake uwezi kuvunja mkataba kwa sababu zozote walizotaja isipokuwa kwa kufuata taratibu zilizoelezewa kupitia article 20. Lakini si kwamba uwezi kuvunja mkataba kabisa panapo serious breach.
 
Acha uwongo wewe,hicho kipengele kinachozungumzia kutumia Baraza la usuluhishi Africa kusini hakizungumzii termination!?
Sheria mpya za rasilimali, zilikataza migogoro hii kutatuliwa kwa Sheria za nje ya nchi.
 
Yaani uingie mikataba na kampuni/shirika ya nje halafu usuluhishi utumie Sheria zako tu!?..akili za wapi hizo!!..wekezeni hela zenu basi!!
 
Bandari yetu ni tatizo letu la miaka mingi na hatuna hoja nyingine ya kuutetea uzembe mahali pale zaidi ya kete ya uzalendo.

Pa kujificha pamekuwa ni uzalendo, tunasahau jinsi ilivyo mzigo mzito unaoukwaza uchumi wa taifa. Tunasahau jinsi wanavyopiga pale kuanzia wakurugenzi mpaka watu wa chini.

Dunia ya sasa haina kabisa muda wa kumsubiri mzembe eti aamke na yeye aanze kutembea wakati wanaomzunguka wote wakiwa wanakimbia.
Dp world anakuja na wafanyakazi kutoka Dubai au watatumika hawa Hawa watanzania? Naomba kujua hili
 
Back
Top Bottom