Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Kwani wawekezaji wanaokuja hapa huwa tunatumia Sheria za wapi? Kuwa shirika la nje haimaanishi ndio utumie sheria za njeYaani uingie mikataba na kampuni/shirika ya nje halafu usuluhishi utumie Sheria zako tu!?..akili za wapi hizo!!..wekezeni hela zenu basi!!
Unasema weka hela? Wapo waliokubali ku-comply na hili, Hawa dp world kama wameshindwa kukubali hili tafsiri yake wana nia ovu