Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..

"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni

hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe

View attachment 2806039

View attachment 2805928
Supika atakuwa hana adabu! Kwani wamesimamishwa kazi hao walimu? Kafandia train kwa mbele huyu! Ina maana hajui kosa kabisa anahisi sababu ni watoto kucheza mziki? Nchi hii tuna viongozi wa hovyo na wapumbavu!
 
Walisimamishwa na wakashushwa vyeo....
Ila tunashukuru Baada ha Agizo la spika Sasa wamerudishwa kwenye nafasi zao
 
Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..

"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni

hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe

View attachment 2806039

View attachment 2805928
Huyu tulia ni bomu tu tena fisadi. Haifai kuingilia mawaziri utendaji wao kama anavyofanya. Kwa nini asisubiri wabunge ndio wahoji. Kwa akiki yake anavyojidai kila wakati ni msomi hajui kwamba kuna nyimbo hazifai kwa watoto wa shule za msingi? Amejaribu kumnyanyasa waziri kwa uamuzi sahihi. Pamoja na kujiona msomi anaweza kua confident fool🤣😂
 
Wamesharudishwa kwenye nafasi zao zaman sana mkuu hao walimu
 
Baniani mbaya kiati chake dawa, kama nyimbo zake hamzitaki rudisheni na zawadi zlilizotokana na pesa ya wimbo. Ingekuwa ccm mbele kwa mbele wazungu japo Haina maadili sikuna waziri mwanamuziki na nyimbo zake tuna zijua na Kuna aliyeqahi kuwa miss Da City Centre ni Kiongozi wao
 
Angusha mojamoja zipange kama mafuriko

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anna mbona unacheka? Hapo ulipo umekaa, umelala, umesimama, umechuchumaa, au umepiga magoti?
Yaani huu uzi unanichekesha[emoji1787]
Yaani hili sakata toka lianze,maoni ya wadau yananivunja mbavu.

Mimi nipo upande wa Walimu.
Mkenda awaombe msamaha Walimu,aliwakosea sana.

Halafu walicheza vizuri tu,kilokole[emoji1787]

Nililala..naamka hapa
Naenda kukalia hayohayo makalio[emoji38]
 
Back
Top Bottom