HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Kwani Tamaduni zaman mlikuwa mnavaa nguo gani?Kwa hiyo maadili ya Mtanzania pia yanaruhusu wanamuziki wa kike kuvaa robo tatu uchi ndio maana Serikali ipo kimya?
Supika atakuwa hana adabu! Kwani wamesimamishwa kazi hao walimu? Kafandia train kwa mbele huyu! Ina maana hajui kosa kabisa anahisi sababu ni watoto kucheza mziki? Nchi hii tuna viongozi wa hovyo na wapumbavu!Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
Walisimamishwa na wakashushwa vyeo....Supika atakuwa hana adabu! Kwani wamesimamishwa kazi hao walimu? Kafandia train kwa mbele huyu! Ina maana hajui kosa kabisa anahisi sababu ni watoto kucheza mziki? Nchi hii tuna viongozi wa hovyo na wapumbavu!
Huyu tulia ni bomu tu tena fisadi. Haifai kuingilia mawaziri utendaji wao kama anavyofanya. Kwa nini asisubiri wabunge ndio wahoji. Kwa akiki yake anavyojidai kila wakati ni msomi hajui kwamba kuna nyimbo hazifai kwa watoto wa shule za msingi? Amejaribu kumnyanyasa waziri kwa uamuzi sahihi. Pamoja na kujiona msomi anaweza kua confident fool🤣😂Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
Wamesharudishwa kwenye nafasi zao zaman sana mkuu hao walimuHuyu tulia ni bomu tu tena fisadi. Haifai kuingilia mawaziri utendaji wao kama anavyofanya. Kwa nini asisubiri wabunge ndio wahoji. Kwa akiki yake anavyojidai kila wakati ni msomi hajui kwamba kuna nyimbo hazifai kwa watoto wa shule za msingi? Amejaribu kumnyanyasa waziri kwa uamuzi sahihi. Pamoja na kujiona msomi anaweza kua confident fool🤣😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ndo umesema mibuno ni makalio.
Makalio ndo matako hayo hayo.
Hakuna tofauti yoyote kati ya makalio na matako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesema mibuno/ vibuno ni makalio.
Nini ubaya wa neno makalio? Makalio si ndo haya tunayatumia kukalia?
Makalio lini limekuwa ni tusi?
Anna mbona unacheka? Hapo ulipo umekaa, umelala, umesimama, umechuchumaa, au umepiga magoti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huu uzi unanichekesha[emoji1787]Anna mbona unacheka? Hapo ulipo umekaa, umelala, umesimama, umechuchumaa, au umepiga magoti?
Speaker anajiamini hadi inatisha wakati ni kitu hajui. Waziri kwa busara kaona cha kufia nini😂Wamesharudishwa kwenye nafasi zao zaman sana mkuu hao walimu