Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

Kwa hiyo Mkapa alikuwa Mnyakyusa, angalia Mwandishi amejikita kwenye uzalilishaji wa jamii yake, sasa hapa Mkapa anaingiaje?
watu wengine wana mihemko ndugu,
huyo uelewa wake umeishia hapo ndio maana anaona kama kuna ukabila.
ila spika tulia ametukosea sana wanyakyusa kwakua kinara wa kupitisha ule mkataba wa utapeli mkubwa bungeni
 
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana Wabunge hapa wakuona hiki kipengele na Tulia na Nape hawakuona hili jambo? Ukweli Samia na Mbarawa nii wahujumu uchumi.
 
Saingine tunazani Pengine wasomi wanaweza kutusaidia kwenye kutumikia wananchi ikiwemo kuokoa rasilimali zetu lakini kumbe huwa inategemea?! [emoji848][emoji848]
 
Je tofauti ya msomi kilaza katika utendaji inaweza kuoneka na kupikwa?

Swala la uadilifu je likoje?
 
Ina maana Wabunge hapa wakuona hiki kipengele na Tulia na Nape hawakuona hili jambo? Ukweli Samia na Mbarawa nii wahujumu uchumi.
vitu vingine vinasikitisha sana ndugu, wasomi kama ndio hawa aina ya Spika wa bunge kwakweli tuna safari ndefu sana ya kupata maendeleo ya ukweli
 
Saingine tunazani Pengine wasomi wanaweza kutusaidia kwenye kutumikia wananchi ikiwemo kuokoa rasilimali zetu lakini kumbe huwa inategemea?! [emoji848][emoji848]
Inasikitisha sana ndugu, yani haya mambo hadi nchi inadharaulika kwa tamaa za watu wachache
 
Je tofauti ya msomi kilaza katika utendaji inaweza kuoneka na kupikwa?

Swala la uadilifu je likoje?
watu aina ya Spika hawatakiwi kuitwa wasomi ila ni vibaraka kwa mgongo wa elimu.
Spika mtu mwenye PHD ya sheria halafu anaruhusu ushenzi kama ule wa mkataba wa bandari, inasikitisha sana
 
Kumbe ni Mwansasu, mbona yeye anajiita Axon?
Kale kamama ni kashenzi akapendi kujiita Mwansasu sababu kanaona maadili ya kinyakyusa yanakabana.
Ila jina lake kamili ni Tulia Axon Mwansasu
 
vitu vingine vinasikitisha sana ndugu, wasomi kama ndio hawa aina ya Spika wa bunge kwakweli tuna safari ndefu sana ya kupata maendeleo ya ukweli
90% ya Wabunge wetu hawajui kbs wajibu wao. Wakishachaguliwa wanakuwa upande wa Serikali na chama baada ya kuwa upande wa Wananchi.
 
Migodi,gesi,viwanda nk mbona hampigi kelele. Mkapa aliuza uza vitu kibao lakini mkikuwa komya, mtupishe hapa mmeanza kuleta udini pumbavu kweli.
Ukiuanzisha moto ujue na kuuzima anzisheni tu mkafikiri mtabaki salama.
Mkapa mwenyewe aliogopa kuuza bandari
 
Back
Top Bottom