CONSISTENCY
Senior Member
- Feb 16, 2023
- 135
- 309
- Thread starter
-
- #21
watu wengine wana mihemko ndugu,Kwa hiyo Mkapa alikuwa Mnyakyusa, angalia Mwandishi amejikita kwenye uzalilishaji wa jamii yake, sasa hapa Mkapa anaingiaje?
kale kamama spika ni kashenzi sana sababu kaliweka nguvu kubwa kushambulia wabunge waliokua wana ukataa ule mkataba.Huyu spika hafai kabisa!
Ina maana Wabunge hapa wakuona hiki kipengele na Tulia na Nape hawakuona hili jambo? Ukweli Samia na Mbarawa nii wahujumu uchumi.Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni Mwansasu, mbona yeye anajiita Axon?Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu
Mwaisa yule mama ametukosea sana, amepata ile nafasi nakusahau maadili ya Tukuyu kabisamwaisa
vitu vingine vinasikitisha sana ndugu, wasomi kama ndio hawa aina ya Spika wa bunge kwakweli tuna safari ndefu sana ya kupata maendeleo ya ukweliIna maana Wabunge hapa wakuona hiki kipengele na Tulia na Nape hawakuona hili jambo? Ukweli Samia na Mbarawa nii wahujumu uchumi.
Inasikitisha sana ndugu, yani haya mambo hadi nchi inadharaulika kwa tamaa za watu wachacheSaingine tunazani Pengine wasomi wanaweza kutusaidia kwenye kutumikia wananchi ikiwemo kuokoa rasilimali zetu lakini kumbe huwa inategemea?! [emoji848][emoji848]
watu aina ya Spika hawatakiwi kuitwa wasomi ila ni vibaraka kwa mgongo wa elimu.Je tofauti ya msomi kilaza katika utendaji inaweza kuoneka na kupikwa?
Swala la uadilifu je likoje?
Yule ni zaidi ya hovyo ndugu, yeye na samia wamefanya uhaini kabisa kwa nchi yetu, hadi sasa walitakiwa wajiudhuruHuyo nilijua anauwezo wa kawaida ila sikujua km yupo hovyo kiasi hiki
Kale kamama ni kashenzi akapendi kujiita Mwansasu sababu kanaona maadili ya kinyakyusa yanakabana.Kumbe ni Mwansasu, mbona yeye anajiita Axon?
Mwaisa Tulia ametukosea sana wanyakyusa.Ndekhe Kalumbu gwangu [emoji23][emoji23]
90% ya Wabunge wetu hawajui kbs wajibu wao. Wakishachaguliwa wanakuwa upande wa Serikali na chama baada ya kuwa upande wa Wananchi.vitu vingine vinasikitisha sana ndugu, wasomi kama ndio hawa aina ya Spika wa bunge kwakweli tuna safari ndefu sana ya kupata maendeleo ya ukweli
Mkapa mwenyewe aliogopa kuuza bandariMigodi,gesi,viwanda nk mbona hampigi kelele. Mkapa aliuza uza vitu kibao lakini mkikuwa komya, mtupishe hapa mmeanza kuleta udini pumbavu kweli.
Ukiuanzisha moto ujue na kuuzima anzisheni tu mkafikiri mtabaki salama.
Myopia.Mkapa mwenyewe aliogopa kuuza bandari