Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

Pasi na Shaka unapozungumzia wanyakyusa ni kabila ambalo limeweza kutoa wanasiasa Nguli kutoka mikoa ya kusini.

Spika kutoa assist kubwa kuanzia zoezi la kuwaondoa wamasai mbugani hadi hapa tulipo sasa bandari kukodishwa milele kwa waarabu, imeleta maswali mengi sana,''
 
tulia katuaibisha wanyakyusa kwa kupitisha ule mkataba wa kuuza nchi
 
Fikilia wewe ni Spika na Mbunge wa mbeya Mjini.

Umepitisha Mkataba Bungeni na Kujikuta wakati Mugumu hata kuutetea kwa wananchi. Na hata ukijaribu kuutetea wananchi hawakuelewi.

Hapo hapo Jimboni kwako kunafunguliwa kesi ya huo mkataba na wananchi wanafurika mahakamani kusikiliza hiyo kesi.

Mda huo huo wazee wajimboni kwako na kwa wingi wanajitokeza kuupinga mkataba.

Hapo ndo utajua namna gani spika hali vikakaa tumboni.
 
wataiba kura kama magufuli alivyofanya
 
Yeye hata haimsumbui.
Anajua kuna wajinga bado watampigia kura.
 
Apimwe dna huyu
 
Tulia amewapelekea TULIA TRUST FUND inayowakomboa kiuchumi, iyo bandari haijawahi kuwasaidia
Bado haimpi authority ya kuwadanganya.

Bandari ina athari kwa uchumi wa taifa zima ambao unamgusa kila mwananchi, wakiwemo wanambeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…