PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?

"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"

"Wabunge hawa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutafakari nini cha kufanya kwa niaba ya wananchi wanaowawakilisha, wakawaza kukupa tuzo maalum leo"

"Kama isingekuwa muda katika majimbo yote ya Tanzania ambayo yapo 264 na sasa yameongezeka ambayo wabunge wake hawajaja bado bungeni, wabunge hawa kila mmoja wao anayo hadhithi njema ya kutoka kwenye majimbo yao na kazi uliyofanya katika sekta zote"

Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan

- Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan
Ujinga
 
Wananchi wapi?hawa wanaotekwa na kuuwawq kila siku?? Pale mhimili mmoja unapompa zawadi kiongozi wa muhimili mwingine .... BASI KAZI IPO
Ndo mana tunauliza huyu SAMIA ANA PhD kweli?
Waliompa walitumia vigezo gani??
 
Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?

"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"

"Wabunge hawa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutafakari nini cha kufanya kwa niaba ya wananchi wanaowawakilisha, wakawaza kukupa tuzo maalum leo"

"Kama isingekuwa muda katika majimbo yote ya Tanzania ambayo yapo 264 na sasa yameongezeka ambayo wabunge wake hawajaja bado bungeni, wabunge hawa kila mmoja wao anayo hadhithi njema ya kutoka kwenye majimbo yao na kazi uliyofanya katika sekta zote"

Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan

View attachment 3351875
Kwani matumbo yao ndio wananchi!?
 
Mimi niondolewe kwenye hilo kundu la hao Wananchi wanatoa hiyo tuzo na kumtuma huyo anasema anatoa kwa niaba.
 
PUMBAFU KBS ASEME WANAMPA WAO KM WABUNGE KILAZA (GEN Z - KENYA)
 
Naanza kushawishika kukubaliana na waarabu ya kwamba Mwanamke hafai kabisa kupewa nafasi za juu za uongozi.

Viongozi wa mihimili yote mitatu wanapaswa kua wanaume tena wenye misimamo kama Mwabukusi.

Naona kinachofuata sasa hivi ni kumfanyia Rais birthday bungeni.
 
Wakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?

"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"

"Wabunge hawa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutafakari nini cha kufanya kwa niaba ya wananchi wanaowawakilisha, wakawaza kukupa tuzo maalum leo"

"Kama isingekuwa muda katika majimbo yote ya Tanzania ambayo yapo 264 na sasa yameongezeka ambayo wabunge wake hawajaja bado bungeni, wabunge hawa kila mmoja wao anayo hadhithi njema ya kutoka kwenye majimbo yao na kazi uliyofanya katika sekta zote"

Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan

View attachment 3351875
Hao wananchi waliomtuma aliwaomba lini? Aisijipe umuhimu kwa wananchi
 
Sijataka kusoma wala kuangalia huo upuuzi. Haya ni matusi makubwa kwa Wananchi, wazazi, watoto, ndugu jamaa na marafiki wa waliotekwa, kuuwawa na kupotea kwa kutatanisha.

Ina maana kwamba, waliofanyiwa hayo madhila ni sawa na mnapongezana. Kama mnadharau hawa Wananchi, muogopeni hata Mungu. Viumbe ni vyake, ila ipo siku yenu KARMA huwa haisahau Address.
 
Wanasema wao ndio Wana wanachama hai wengi zaidi kuliko chama chochote hapa Tanzania lakini cha kushangaza na kuchekesha hawataki uchaguzi huru.. yaani wanaona kama wanaongoza manyani hivi
 
Huu ni wakati wa kuonesha uchawa kwa vitendo, kumbuka rais nd'o mwenyekiti wa Chama na kwa nafasi yake nd'o wa kuamua nani agombee wapi na nani akatwe whether wananchi wanamkubali au la!
Ndiyo maana watu wanajipendekeza sio kwamba wanapenda, ila njaa na tamaa ya madaraka inawalazimu kufanya hivyo!
 
Muwe mnajitaja wenyewe kuliko kusingizia watu wasiohusika na ujinga wenu. Mmemuuliza mwananchi gani akasema mumuwakikishe kwenye huo Uchawa wenu?
 
Wakuu,

Mambo yanaendelea kuchemka

Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa tuzo ambayo wamempa Rais Samia ni kwa niaba a wananchi

Back
Top Bottom