PimbiWakuu
Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii?
"Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani"
"Wabunge hawa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kutafakari nini cha kufanya kwa niaba ya wananchi wanaowawakilisha, wakawaza kukupa tuzo maalum leo"
"Kama isingekuwa muda katika majimbo yote ya Tanzania ambayo yapo 264 na sasa yameongezeka ambayo wabunge wake hawajaja bado bungeni, wabunge hawa kila mmoja wao anayo hadhithi njema ya kutoka kwenye majimbo yao na kazi uliyofanya katika sekta zote"
Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan
View attachment 3351875

Sio Wananchi, Aseme kwa niaba ya "Machawa".Wakuu

Hahaha.Nashukuru mimi si mmoja wa hao wananchi wasio na akili.
Tuzo ya makengeWananchi wapi?hawa wanaotekwa na kuuwawq kila siku?? Pale mhimili mmoja unapompa zawadi kiongozi wa muhimili mwingine .... BASI KAZI IPO
Ndo mana tunauliza huyu SAMIA ANA PhD kweli?
Waliompa walitumia vigezo gani??
Duuh... Yaani bunge limesahau majukumu yake ya msingi!Wakuu