PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mi sihusiki, sijawakilishwa na mtu ambaye sikumchagua, sitaki kuhusishwa, Bora nikalime mashamba ya familia kama Makamu
 
Hata Mimi sihusiki na tuzo hiyo labda kama mnamtunza tuzo ya mauwaji na utekaji.
 
Taifa zima linalia na damu za watanzania waliouwawa halafu nyie mnapeana tuzo za uongo. Uchawa tu mtakufa vibaya sana nyinyi watu. Hamna uchungu na watanzania kwakuwa hawakuwachagua mlichaguliwa na magufuli.
 
Anikome!, Mimi siwezi Fanya mambo ya hovyo kwa wenye pesa. Anitake radhi asije laaniwa....hao wananchi angewataja kwa majina yao tu
 
Mimi ninajitoa kwenye ushirikina huu.
 
k. u. ** a mnakera sana, wananchi gani. mama samia ana msongo wa mawazo na depression, Watanganyika hawamtaki, hawampendi, wanamtaka Lissu, sasa kila raia hadi vijijini wanajua mama Samia ndo anaua watanganyika, na anatumia polisi vibaya, hili limuungano tutalivunja hatutaki kuja tena kutawaliwa na mzanzibari, hili tutawaaambia watoto, wajukuu na vitukuuu vyetu, haitatokea tena Naapa
 
Akiwaza kilichomkuta Job inabidi ajobike kiuchawa!
Binafsi Sina mbunge,sijui na simtambui
 
NO REFORM NO ELECTION.

ENDELEENI KUKAZA MAFUVU TU
 
Kwa hiyo hata Familia za mdude na Soka wamempa tuzo?
 
Bunge limegeuka kua sehemu ya propaganda za kisia shame
 
Simngempa kama wana sisiemu 13million mbona mnatukosea heshima wananchi wengine tusiohusika na nyie
 

wanatuona sote ni manyani. Tenda jambo Mungu Mwenye enzi
 
Tuzo ya kichawa.
 
Hivi Neno wananchi limeshabadilishwa maana au maana bado ni Ile Ile? kama maana ni Ile Ile itabidi atuombe radhi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…