PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pimbi
 
Pimbi
 
Sio Wananchi, Aseme kwa niaba ya "Machawa".
 
Wananchi wapi?hawa wanaotekwa na kuuwawq kila siku?? Pale mhimili mmoja unapompa zawadi kiongozi wa muhimili mwingine .... BASI KAZI IPO
Ndo mana tunauliza huyu SAMIA ANA PhD kweli?
Waliompa walitumia vigezo gani??
Tuzo ya makenge
 
Duuh... Yaani bunge limesahau majukumu yake ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…