Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

Jamani hii nchi ni yetu sote. Tuna haki kikatiba kupigania rasilimali za nchi yetu na vizazi vyetu vya baadae.

Hivyo naomba orodha ya Wabunge walio kwenye Payroll ya DP World , walio safiri kwenda Dubai ku saini ule ujinga.

Wabunge hawa, kivyovyote vile hawapaswi kuchangia mjadala wowote wa Mkataba wa DP World na Tanzania iwe Bungeni, Redioni au TV. Tiyari wana Conflict of Interests. Wana uza nchi kwa ajili ya matumbo yao. Mm na anza:

1. King Msukuma. Mbunge wa Geita
Msukuma kapewa sh ngapi?
 
Hana hamu na kitu inaitwa kariakoo... anatamani abinafsishe bandari, kariakoo na ikulu ya magogoni ili awe anashinda dodoma tuu
Pana jamaa alimlipua naona yupo kimya kabisa Masikini tukipata shule tunadhani hakuna tena mwingine aliesoma Tanzania ni dharau tu kwa kwenda mbele...
 
Ili tuwaja
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.

1. Rashid Shangazi Mbunge wa Mlalo- Tuhuma za kushawishi mamlaka kuipa kazi Kampuni ya DP World.

2. Januari Makamba- Mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati- Tuhuma za kugawa fedha na majiko ili kuipa upendeleo kampuni za mradi wa gesi wa LNG.

3. Joseph Msukuma- Tuhuma za kuhongwa mamilioni ya dola na kupewa gari jipya VX-V8 ili kuipigania Kampuni ya DP kununua bandari za Tanganyika.

Wabunge wengine tunaweza kuendelea kuwaorodhesha.
Ili tuwajadili na kuwahukumu tukiwa well informed, toa lau shutuma zako na ushahidi tuamua na siyo kutulisha maneno yanayoweza kuwa uzushi hata chuki binafsi. Hii ndiyo maana ya kuwa sehemu ya thinkers. Tafadhali.
 
Hili suala la bandari kila mtu anajifanya mtaalamu, hadi cute wife nae anatoa maoni.

Maza kazingua lazima tumchane ukweli ajue, nyie machawa mnamsifia kulinda ugali wenu, lakini mnajua fika alichofanya kitatucost km taifa bwege wewe.

[emoji2222] hii comment haihusiani na ule mpango wetu wa kutuma na ya kutolea [emoji6]
 
Jamani hii nchi ni yetu sote. Tuna haki kikatiba kupigania rasilimali za nchi yetu na vizazi vyetu vya baadae.

Hivyo naomba orodha ya Wabunge walio kwenye Payroll ya DP World, walio safiri kwenda Dubai ku saini ule ujinga.

Wabunge hawa, kivyovyote vile hawapaswi kuchangia mjadala wowote wa Mkataba wa DP World na Tanzania iwe Bungeni, Redioni au TV.

Tayari wana Conflict of Interests. Wana uza nchi kwa ajili ya matumbo yao. Mimi naanza:

1. King Msukuma, Mbunge wa Geita.
Hilo neno "king" linatumika vibaya/negatively!King amenenepa pua?
 
Back
Top Bottom