Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

Spika Tulia waite kamati ya maadili wabunge hawa tuhuma za rushwa bungeni

UJINGA MTUPU....

Unawatuhumu wabunge kwa kufanya LOBBYING?!!!

Iwe ni kweli ama si kweli.....ni kipengele kipi cha sheria kinamzuia mbunge kushawishi maendeleo kwa njia ya kuhusisha makampuni ya ndani na ya nje ?!!!!

Iko miradi mingi ya KIMAENDELEO imefanikishwa kutokana/kupitia USHAWISHI wa mameya wa majiji kwa wadau wa MAENDELEO tena wa kimataifa..........

Tunawashangaa wabunge wetu ?!!!!

Ikiwa mbunge anatushawishi tumpe kura ili tumtume akatutumikie leo hii tunashangaa yeye kufanya "LOBBYING" kuyaleta hayo maendeleo?!!!!

Kuhusu kupewa fedha kwa njia za RUSHWA ni kuwatuhumu tu na kuwachafua tu.....

NI TUHUMA ZISIZO NA NIA NJEMA HATA KIDOGO....HAPA USIPOPATIKANA UTULIVU WA FIKRA PANA ZA MIZANIA BASI WATAKUJA KUONEWA WATU TU KWA AJENDA HASI ZA SIRI


#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom