Spika Tulia: Wapinga uwekezaji bandarini waangushiwa kitu kizito. Wanaosema watahamasisha watu wasilipe kodi, wajaribishe waone

Huyu Bettina atakuja kupatwa na janga sna huyu mam kawa jeuri Sana kupitiliza Sasa hujui ndugai aliwai kuwa jeuri na fedhuli lkn CCM ikamdampu Kama toilet paper

Ni vyema.akaonjwa mapema Sana
Mwache dada aongee na wapiga kura wake bhana
 
No siyo Tanzania Assembly of God bali ni Tanzania assembly of gods.
Maana kila anayelewa madaraka hapa hujifanya "muungu mtu"
Ilo ni kanisa analoabudu spika linaitwa Tanzania Assemblies of God.
 
Huyu mama mbona amejawa hofu kiasi hiki? Anahofia nini? Ana wasiwasi mpaka anashindwa kuficha hisia zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayejitambulisha kama mwalimu wa Wanasheria wasomi, anahamasisha Police wawavunje miguu waandamanaji!!

Kwani akili ni kama nguo kwamba ukienda kulala unazitundika juu ya hanger?
 

Ni aina tu uwasilishaji kwa kujibu ya audience iliyopo.
 
Ndani ya bunge Spika huyu aliwapiga na kitu chenye ncha kali wale waliopinga uwekezaji wa DP World. Spika huyu sasa anafurahi kuwa nje ya bunge wapingaji hao wamepigwa tena na kitu kizito.

Tuna mu rank vipi Spika huyu wa sasa? Ni nyota ngapi ukimlinganisha na watangulizi wake? Mimi nampa nyota moja, Makinda nyota tatu, Ndugae nne na Samuel Sitta tano.
 
Akili mtu huzaliwa nayo, ELIMU utajikuta duniani,

Ni dhahiri Betina ana Elimu lakini siamini kama ana akili, kama anazo hazitumii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…