Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huyu mama mbona amejawa hofu kiasi hiki? Anahofia nini? Ana wasiwasi mpaka anashindwa kuficha hisia zake"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama mbona amejawa hofu kiasi hiki? Anahofia nini? Ana wasiwasi mpaka anashindwa kuficha hisia zake"Leo (jana) hukumu ya kupinga mkataba wa bandari imetoka lakini kabla
Nimeamua kukupuuzaTulia yuko sawa! Au wewe tuambie hapa, Bandari imeuzwa shilingi ngapi? hizo hela kapokea nani na wapi?
Imefanyaje....kanisa langu pendwa😂😂😂
TAG
Sio umenipuuza. Huna majibu kuhusu huo upuuzi wenu.Nimeamua kukupuuza
Dada mbona umepanic? Unamjua bi mkora kwani?bi Mkora mamako we kenge
Mwache dada aongee na wapiga kura wake bhanaHuyu Bettina atakuja kupatwa na janga sna huyu mam kawa jeuri Sana kupitiliza Sasa hujui ndugai aliwai kuwa jeuri na fedhuli lkn CCM ikamdampu Kama toilet paper
Ni vyema.akaonjwa mapema Sana
No siyo Tanzania Assembly of God bali ni Tanzania assembly of gods.Duh......😂😂😂
Tanzania Assembly of God
Wewe umeona inaelekea wapiKwani Bandari inapelekwa wapi?
Ilo ni kanisa analoabudu spika linaitwa Tanzania Assemblies of God.No siyo Tanzania Assembly of God bali ni Tanzania assembly of gods.
Maana kila anayelewa madaraka hapa hujifanya "muungu mtu"
Anayejitambulisha kama mwalimu wa Wanasheria wasomi, anahamasisha Police wawavunje miguu waandamanaji!!Huyu mama mbona amejawa hofu kiasi hiki? Anahofia nini? Ana wasiwasi mpaka anashindwa kuficha hisia zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatuaibisha sana.Sijui kwanini kabla hawajawa watu wakuu sana wanakuwa loyal na role model lakini kuna ngazi wakifika Uchamungu wao unakuwa kama umemezwa.Nawafahamu wa TAG kadhaa waliokuwa role model baada ya kuingia kwenye siasa na kupata nyadhifa wamekuwa watu hatari kuliko wapagani mara nyingine.Kwakweli ni aibu.
Watu waliopaswa kuwa na hofu ya Mungu,wenye hekima,wenye maneno yaliyojaa kweli tupu na dhamira njema ikiwaongoza.Mwenyehaki anatarajiwa awe kioo.Tofauti na wasiomjua Mungu.
Well hatakama mtazamo labda yuko sawa,labda lakini maneno mbona hayana ladha ya mtu anayemjua Mungu.
John siasa inaweza kukupotezea heshima yako watu waliokuwa wanakuamini wakabaki wanashangaa.
Duu hana hata hofu ya Mungu?Ilo ni kanisa analoabudu spika linaitwa Tanzania Assemblies of God.
Mkitaka kuoa muanze nao Mana hawana gharama ni bure misukule hiyo.Hana akili, bunge lake limenizawadia uchumi wenu.