Hata kama alikuwa anajua isingekuwa sahihi kueleza ukweli kuhusu afya ya Rais maana ingeleta taharuki kubwa !! Mbona mambo kama hayo huwa yanatokea sana duniani ! Watu wanakuja kujulishwa wakati tayari wameshajiandaa kisaikolojia baada ya kutomuona kiongozi wao kwa muda mrefu. !Hivi inawezekana Kassim kweli hakujuwa Magufuli alikuwa mgonjwa tabani wakati huo?
Ndo nasikia leo kumbe operation ilifanyika😞Alikuwa anajiandaa kwenda chumba cha upasuaji huku anapiga kazi?Yeye alikuwa "mnoma" sana!
Hajakosea, amewakumbusha wajibu wao.Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa msalato dodoma akisem eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli!!!
Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndo huyo hajui hata safari za rais kiasi ambacho naye anasikia kwenye mitandao ya kijamii maana yake rais hatambui umuhimu wa mbunge au bunge halijitambui linasimamia nini!!
Tunasafari ndefu sana
Kwani ugonjwa ni siri mkuu?Mkuu haukusikia wakati anaapa kuwa "hatatoa siri za Serikali " Hilo wewe haulifahamu?
Alisema Yupo Mzima Anachapa Kazi, Kumbe Amelala Mauti KitamboKwani umesahau bwana Kassim alivyotuambia kuhusu hayati?
Kuna kipengele cha sitatoa Siri za serikali, Wewe hizo Siri unazijua?Kipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?
kuwa mkweli haina maana kila utakapo ulizwa basi wewe unasemaKipindi anapishwa kuitumikia nchi hii kama PM aliapa atakua mkweli, muwazi na muadilifu. Huoni kama ameenda kinyume na kiapo chake kwa kuudanganya umma?
kifo cha raisi kina taratibu zake kutangazwa waziri hakuwa na hayo mamlakaAlisema Yupo Mzima Anachapa Kazi, Kumbe Amelala Mauti Kitambo
Kasimu Majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi. Unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani
Unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vipi wangefahamu mapema )
Kwa mtazamo wangu Majaliwa yuko sahihi sana. Kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani
Mmerogwa nyie
kwenye familia tu kutoa taarifa ya kifo sio kirahisi hiviWale watoto wadogo ndiyo hawaelewi hili. Lkn wahenga tunajua maana yake ni nini!! Zaidi ya miaka 20 iliyopita, sintofahamu kama hiyo ilitokea DRC alivyo kufa Kabira sr. Alipelekwa Zimbabwe wakati yu mauti, lkn maarifa zizotolewa zilikuwa ni kwamba anatibiwa na hali yake inazidi kuimarika. Yiite hiyo ni kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kudumishwa.
kwenye familia tu kutoa taarifa ya kifo sio kirahisi hivi
huwa nashangaa wanavyo rahisisha kwa majaliwa
SAWA.Hata kama alikuwa anajua isingekuwa sahihi kueleza ukweli kuhusu afya ya Rais maana ingeleta taharuki kubwa !! Mbona mambo kama hayo huwa yanatokea sana duniani ! Watu wanakuja kujulishwa wakati tayari wameshajiandaa kisaikolojia baada ya kutomuona kiongozi wao kwa muda mrefu. !
Mkuu hivi sumve ndiyo kule ukifika stendi ya buzuruga mwanza unapanda lile basi ambalo ukifika ni vumbi mtindo mmoja na ukilikosa basi unapanda hiece?.Taahi.ra wewe JPM alikuwa anapiga kazi waulize walomfanyia surgery nini kilitokea sababu hata kwenda chumba cha upasuaji ni yeye aliongoza maombi.
Siamini kuwa hata wewe mkuu una unga mkono UONGO, huyu pm alitakiwa awe amejiuzuru muda mwingi tu,huwezi kuongopea taifa, dhambi ya uongo ni kubwa mnokasimu majaliwa alikuwa sahihi sana kwenye hii kauli ni wapuuzi tu wanao shikiria na kuona hakuwa sahihi
unajua kauli yake ya raisi yuko mahututi ingeiweka nchi kwenye hali gani
unajua mchwa wangeiba kiasi gani hasa kwa kufahamu mwamba si muda anakata kamba (kama tu walipiga baada ya kifo vp wangefahamu mapema )
kwa mtazamo wangu majaliwa yuko sahihi sana
kwenye familia tu mzee akiwa mahututi taarifa haitolewi kiholela iwe raisi, yaani kiwepesi tu uambiwe hali ya raisi iko matatani
mmerogwa nyie
We nipumbafu usiejielewa... kaa hapohapo!!!Wacha umbumbumbu, sio lazima bali ni protocol inatamka hivyo.
Spika wa Bunge, ni moja ya watu wenye kuweza kukaimu nafasi ya rais pia endapo waandamizi stahiki wa juu kabla yake wanakuwa hawapo.
uongo wake ulikuwa na faida kuliko ukweli, ukweli ungeleta taharuki ila uongo uliweka mambo sawaSiamini kuwa hata wewe mkuu una unga mkono UONGO, huyu pm alitakiwa awe amejiuzuru muda mwingi tu,huwezi kuongopea taifa, dhambi ya uongo ni kubwa mno
Huyo Msoga pamoja na watu kumwandama sana, asingekuwa yeye Hayati Magufuli angetukuta tuko taabani! I respect Msoga from my INNERMOST HEART!Kila kitu kinaratibiwa kutokea Msoga sasa spika atapata wapi taarifa?