Ndoa za mitara.Tumweleze nini?
Au labda spika ameongea kiutani tu maana tushamzoea. Kama ameongea seriously basi ameongea upumbavu wa hali ya juu sana!Tuachane na Mambo ya Gender, Ni muda wa kujikita Kwenye uhalisia wa Kimaisha. Hizi Agenda Mfu za wanawake or wanaume Hazitaliokoa Taifa ili. Let us concentrates with pertinent issues in our Nation.
Kuna utani gani Kwenye Mambo ya Kimsingi, Hakuwa anatania Maana lile ni Bunge sio Kijiwe cha Kahawa. Huyu Speaker wetu Hajui hizo dakika alizompatia huyu Mbuge na yeye Kuongezea Upupu ni Matumizi Mabaya ya Kodi zetu. Tunae speaker wa ajabu sana.. Daah!!!!Au labda spika ameongea kiutani tu maana tushamzoea. Kama ameongea seriously basi ameongea upumbavu wa hali ya juu sana!
Kikao hicho kitahudhuriwa na wanaume warefu na wenye utimamu wa akili sifa ambazo yeye hanaSpika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamisi, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia , kuitisha kikao maalum cha wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.”
Nini Maoni yako??